دول الساحل تسجل 54 حالة إصابة جديدة بفيروس كورونا
Nchi za pwani zasajili kesi mpya 54 za Virusi vya corona
سجلت دول مجموعة الساحل الخمس 54 حالة إصابة جديدة بفيروس كورونا، بحسب آخر نشرة يومية لدول المجموعة المرتبطة بتطور فيروس كورونا.
Nchi tano za kundi la Pwani zimesajili kesi mpya 54 kutokana na virusi vipya vya Corona kulingana na Ripoti ya kila siku ya hivi karibuni kwa nchi za kundi hilo linalohusika na maendeleo ya virusi vya Corona.
وأضافت هذه النشرة التي صدرت الاحد 19-4-2020 ، أن العدد الإجمالي للمصابين بلغ 1414 حالة، و67 حالة وفاة، لتبقى الحالات الخاضعة للعلاج 897 حالة.
Ripoti hii, iliyotolewa Jumapili,Aprili 19,2020, iliongeza kuwa jumla ya maambukizi yalifikia kesi 1414 na vifo 67, na kesi zilizo chini ya matibabu zibaki kesi 897.
وتتولى موريتانيا الرئاسة الدورية لدول المجموعة التي تضم في عضويتها دول: مالي والنيجر وبوركينا فاسو وتشاد.
Mauritania inashikilia Urais unaozunguka wa nchi za kundi ambalo washiriki wake ni pamoja na: Mali, Niger, Burkina Faso na Chad.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي