السعوية ترفع الحظر عن استيراد الماشية من جيبوتي
Saudi Arabia yaondoa marufuku kuagiza mifugo kutoka Djibouti
أعلنت وزارة البيئة والمياه والزراعة في المملكة العربية السعودية، عن صدور قرار برفع الحظر المؤقت على إرساليات المواشي الحية القادمة من جمهورية جيبوتي
Wizara ya Mazingira Maji na Kilimo nchini Saudi Arabia imetangaza kutolewa uamuzi wa kuondoa marufuku ya muda ya usafirishaji mifugo hai kutoka Jamhuri ya Djibouti
.وأوضحت الوزارة، في بيان لها، أن القرار جاء بعد زوال الأسباب الداعية له، مؤكدة على أن كافة الإرساليات ستخضع كما هو متبع نظامًا لكافة الاشتراطات الصحية التي تضمن سلامات الواردات من الأمراض
Wizara hiyo imefafanua katika taarifa yake, kwamba uamuzi huo ulikuja baada ya sababu zilizopelekea hivyo kutoweka, na kukisisitiza kwamba usafirishaji wote utakuwa chini ya mfumo kama ilivyo kwa mahitaji yote ya afya ambayo huhakikisha usalama wa uagizaji kutokana na magonjwa.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي