الجمعة، 29 مايو 2020

Benki ya Afrika yatenga euro milioni 40 kufadhili ujenzi wa daraja linalounganisha Cameroon na Chad

البنك الأفريقي يخصص 40 مليون يورو لتمويل إنشاء جسر يربط الكاميرون ...

البنك الأفريقي يخصص 40 مليون يورو لتمويل إنشاء جسر يربط الكاميرون وتشاد
Benki ya Afrika yatenga euro milioni 40 kufadhili ujenzi wa daraja linalounganisha Cameroon na Chad

وافق مجلس إدارة البنك الأفريقي للتنمية، على تخصيص مبلغ 40 مليون يورو (26.2 مليار فرنك أفريقي) لتمويل مشروع إنشاء جسر يربط بين دولتي الكاميرون وتشاد على نهر "لوجون".
Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika ilikubali kutenga euro milioni 40 (faranga za dola bilioni 26.2) kufadhili mradi wa ujenzi wa daraja linalounganisha nchi ya Cameroon na Chad kwenye mto wa "Logon".

وأوضح تقرير صادر عن فريق إدارة المشروع في مجلس إدارة البنك الأفريقي للتنمية، أن الأموال المخصصة للمشروع تشمل تمويل أعمال إنشاء الجسر والطرق المؤدية إليه وإعداد دراسات الجدوى الخاصة بهذا المشروع.
Ripoti iliyotolewa na timu ya usimamizi wa mradi kwenye Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika ilisema kwamba fedha zilizotengwa kwa mradi huo ni pamoja na kufadhili kazi ya ujenzi wa daraja na barabara zinazoelekea huko na kuandaa masomo yakinifu kwa mradi huu. 
.
ويعد هذا المشروع هو الثاني من نوعه للربط بين دولتي الكاميرون وتشاد بعد جسر نجويلي الذي يربط بين مدينة كوسيري في الكاميرون والعاصمة التشادية انجامينا.
Mradi huu ni wa pili wa aina yake kuunganisha nchi ya Kameroon na Chad baada ya Daraja la Ngweli, ambalo linaunganisha jiji la Kousseri nchini Kameroon na mji mkuu wa Chad  Njamena.

وأشار التقرير إلى أنه من المنتظر أن يعزز بناء هذا الجسر، الذي يبلغ طوله 620 مترا، حركة التبادل التجاري بين دولتي تشاد والكاميرون كما سيقلل من زمن الانتقال بين البلدين وتكلفة نقل البضائع وتحسين مستوى إيصال الخدمات الأساسية لسكان الدولتين، كما يعزز أواصر الترابط الاجتماعي الثقافي بين البلدين.

Ripoti ilionesha kuwa ujenzi wa daraja hili lenye urefu wa mita 620 unatarajiwa kuongeza harakati za ubadilishanaji wa biashara kati ya nchi ya Chad na Kamerun, pia  itapunguza muda wa usafiri kati ya nchi hizo mbili na gharama ya kusafirisha bidhaa na kuboresha kiwango cha utoaji wa huduma za msingi kwa wakaazi wa nchi hizo mbili, na pia  kuimarisha vifungo vya uhusiano wa kijamii na kitamaduni kati ya nchi hizo mbili.

 ترجمة :
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث في الشأن الإفريقي

شارك الموضوع:

Related Posts
الموضوع التالي
التعليقات