الإيجاد تقرر إنشاء صندوق لمكافحة الأمراض الوبائية في دول الإقليم
31 مارس 2020
قرر رؤساء دول الإيجاد على إنشاء صندوق الطوارئ لمكافحة الأمراض الوبائية وتعزيز النظم الصحية في دول الإقليم، وعقد رؤساء دول الإيجاد يوم الإثنين قمة استثنائية عبر الإنترنت، لمناقشة إستراتيجية المنظومة الاقليمية لمكافحة فيروس "كورونا".
وأكد بيان الإيجاد، على حشد الدعم من المجتمع الدولي لمكافحة "كوفيد – 19" ، وتعزيز النظم الصحية الوطنية وبناء قدرة الصناعات المحلية على المعدات واللوازم الطبية لمكافحة الامراض الوبائية.
ولصياغة الاستراتيجية الجديدة، سيعقد وزراء الصحة والمالية لدول إيجاد اجتماعا لمناقشة الامر، بشأن جائحة "كوفيد – 19".
وطالبت الإيجاد المؤسسات المالية الدولية بإلغاء ديون دول الأعضاء في المنظومة من أجل توفير الموارد لمكافحة فيروس "كورونا"
IGAD yaamua kuanzisha mfuko wa kupambana na magonjwa hatari katika nchi za kikanda
Marais wa nchi za IGAD wameamua kuanzisha mfuko wa dharura wa kupambana na magonjwa hatari na kuimarisha mifumo ya kiafya katika nchi za kanda, ambapo marais wa nchi za IGAD wamefanyika mkutano wa dharura kupitia Internet siku ya Jumatatu ili kujadili mkakati wa mpango wa kikanda ili kupambana na Virusi vya Corona .
Ripoti ya IGAD imesisitiza uhamasishaji wa msaada kutoka kwa jamii ya kimataifa ili kupambana na Covid _ 19" na kuimarisha mifumo wa kiafya ya kitaifa na kujenga uwezo wa viwanda wa ndani katika vifaa na mahitaji ya matibabu ili kupambana na magonjwa hatari .
Ili kuadaa mkakati mpya ,Mawaziri wa Afya na fedha wa nchi za IGAD, watafanya mkutano ili kujadili jambo hili la Covid _19 .
IGAD imehimiza taasisi za fedha za kimataifa kuondoa madeni ya nchi wanachama wa mfumo ili kutosheleza rasilimali za kupambana na virusi vya Corona.