الجمعة، 29 مايو 2020

UNICEF yafundisha watu wa kujitolea 15,000 ili kukuza uhamasishaji wa kujikinga na Corona nchini Burkina Faso

البوابة نيوز: "اليونيسيف" تدرب 15 ألف متطوع للتوعية بالوقاية من ...

"اليونيسف" تدرب 15 ألف متطوع للتوعية بالوقاية من كورونا في بوركينافاسو
UNICEF yafundisha  watu wa kujitolea 15,000  ili kukuza uhamasishaji wa kujikinga na  Corona nchini Burkina Faso

قررت سلطات بوركينافاسو نشر 15 ألف متطوع للتوعية ضد جائحة كوفيد 19 كانوا قد تلقوا تدريباً من قبل منظمة الأمم المتحدة للطفولة" اليونسيف " .
Mamlaka ya Burkina Faso imeamua kupeleka watu wa kujitolea 15,000 ili kukuza uhamasishaji dhidi ya janga la Covid 19, ambao walikuwa wamepata mafunzo katika Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa  (UNICEF).

وأوضحت السلطات الصحية في بوركينا فاسو أن هؤلاء المتطوعين سيسهمون في تعزيز جهود الفريق الطبي في التصدي لكوفيد 19 والدعم في إدارة الأزمة الصحية، لافتة النظر إلى أنه سيوزع المتطوعين على مختلف محافظات بوركينافاسو البالغ عددها 45 محافظة من أجل توعية السكان بشأن طرق الوقاية من فيروس كورونا.
Mamlaka ya afya huko Burkina Faso ilisema kuwa wafanyakazi hao wa kujitolea watachangia kuimarisha juhudi za timu ya matibabu kupambana na Covid 19 na kutoa  msaada kukabiliana na tatizo la kiafya, ikisema kwamba watu wanaojitolea watasambazwa  kwenye  mikoa 45 ya Burkina Faso ili kuelimisha watu kuhusu njia ya kujikinga na virusi vya Corona .
وبلغت إصابات كورونا المسجلة في بوركينافاسو 782 حالة مؤكدة بينها 51 حالة وفاة، فيما بلغ عدد المتعافين من الفيروس 604 حالات. 
Maambukizi ya Corona yaliyosajiliwa nchini Burkina Faso yalifikia kesi 782 zilizothibitishwa, pamoja na vifo 51, wakati idadi ya watu waliopona na virusi hivyo ilifikia kesi 604.

ترجمة :
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات