الأربعاء، 13 مايو 2020

Afrika Kusini yawaachia wafungwa 19,000 katika mfumo wa kupambana na Corona

جنوب أفريقيا تفرج عن 19 ألف سجين في إطار مكافحة - العرب اليوم

جنوب أفريقيا تفرج عن 19 ألف سجين في إطار مكافحة كورونا
Afrika Kusini yawaachia wafungwa 19,000  katika mfumo wa kupambana na Corona


أمر الرئيس الجنوب أفريقي سيريل رامافوسا السبت 9/5 بالإفراج عن 19 ألف سجين للحد من خطر الإصابة بفيروس كورونا في سجون جنوب أفريقيا.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramavusa aliamuru Jumamosi  9/5 kuachiliwa kwa wafungwa 19,000  ili kupunguza hatari ya kuambukizwa na virusi vya corona  katika magereza ya Afrika Kusini.

يذكر أن جنوب أفريقيا سجلت ارتفاعا في عدد الوفيات بفيروس كورونا المستجد إلى 186 حالة، بحسب ما أفادت به وكالة بلومبرج للأنباء، كما ارتفع عدد الإصابات إلى 9420.

Ni muhimu kukumbuka kuwa Afrika Kusini ilirekodi ongezeko katika  idadi ya vifo kutokana na  virusi  vipya vya corona  hadi kesi 186, kwa mujibu wa shirika la habari la Bloomberg, pia idadi ya maambukizi iliongezeka hadi 9,420.

ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات