الأربعاء، 1 أبريل 2020

Hebu Tujue Angola




Angola
أنغولا - ويكيبيديا

خريطة أنجولا


أنجولا، رسميا جمهورية أنجولا، تقع في الجزء الجنوبي لقارة إفريقيا، هي أرض الفرص وسوق عمل استثنائي.
Jamhuri ya Angola, iko katika sehemu ya kusini mwa bara la Afrika, na  ni nchi ya fursa na soko la kazi la kipekee.
.
 لواندا هي عاصمتها وأكبر مدينة في البلاد. لغتها الرسمية هي البرتغالية والعملة هي كوانزا 
Luanda ni mji wake mkuu na  jiji kubwa nchini. Lugha yake rasmi ni Kireno na sarafu ni Kwanza.

السفر الى أنغولا - مجلة رجيم
يبلغ عدد سكانها 26 مليون نسمة، وهي مقسمة إلى 18 مقاطعة.
Angola ina idadi ya watu milioni 26, na imegawanywa katika majimbo 18.


تحتفل أنجولا بعيدها القومي في 11 نوفمبر، ومؤخرا أُنتُخِبَ السيد/ جواو مانويل جونسالفس لورينسو، رئيسًا للبلاد (منذ 26 سبتمبر 2017


Angola inaadhimisha Siku yake ya Kitaifa  Novemba 11, na hivi karibuni Bw. Joao Manuel Goncalves Lawrenco alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo (tangu Septemba 26, 2017).
جولة حول أفضل 10 مناطق سياحية في أنغولا موسوعة المسافر جولة حول ...

يحد أنجولا ناميبيا من الجنوب، وزامبيا من الشرق، وجمهورية الكونغو الديمقراطية من الشمال الشرقي، جمهورية الكونغو (برازافيل) من الشمال والمحيط الأطلنطي من الغرب.
Angola imepakana na Namibia upande wa  Kusini, Zambia upande wa Mashariki, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka upande wa Kaskazini Mashariki, Jamhuri ya Kongo (Brazzaville) kutoka upande wa Kaskazini na 
Bahari ya Atlantiki kutoka Magharibi.

تتمتع أنجولا بمساحة كبيرة تبلغ 1.246.700 كم2، ويبلغ طول ساحلها 1650 كم. طبيعة تضاريسها متنوعة تشمل أراضي زراعية وفيرة، وغابات، وشبكة متسعة من الأنهار. وتبدأ التربة الأنجولية بكونها شبه قاحلة في الجنوب وعلى طوال الساحل، إلى هضاب عالية في المناطق الوسطى، ثم غابات في الشمال. كما أنها تتمتع بثروة من الموارد الطبيعية مثل النفط والماس والحديد الخام والفوسفات والنحاس والذهب والبوكسيت واليورانيوم والمنجنيز والتيتانيم، ألخ.


Angola ina eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 1,246,700, na pwani yake ina kilometa 1,650 km. Mandhari yake ni tofauti na inajumuisha ardhi kubwa ya kilimo, misitu, na mtandao mkubwa wa mito. Udongo wa Angola ni nusu ukame kusini na katika pwani, hadi nyanda za juu katika mikoa ya kati, kisha misitu Kaskazini. Pia ina utajiri wa rasilimali asilia kama vile mafuta, almasi, chuma, fosfati, shaba, dhahabu, boksiti, urani, manganisi, titani, nk.



جولة حول أفضل 10 مناطق سياحية في أنغولا موسوعة المسافر جولة حول ...

تتمتع هذه الدولة الشابة حاليًا بحقبة من السلام والاستقرار السياسي، وأيضًا بنمو اقتصادي مستدام ملحوظ، وهذا بعد 27 عاما من الحرب الأهلية التي انتهت في عام 2002
 Nchi hii changa kwa sasa inafurahia amani na utulivu wa kisiasa, pamoja na ukuaji endelevu wa uchumi, baada ya miaka 27 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyomalizika 2002.

السياحة في أنجولا: أفضل ما في أنجولا لعام 2020 - Tripadvisor

وقد بذلت الحكومة الأنجولية جهودا كبيرة في السنوات الأخيرة من أجل تحديث تشريعات الدولة للأستثمار ونظامها الضريبي الذي من شأنه جعل البلاد شريكا تجاريا جذابا
Serikali ya Angola imefanya juhudi kubwa katika miaka ya hivi karibuni ili kuweka sheria mpya za uwekezaji nchini na mfumo wa ushuru ambao utaifanya nchi hiyo kuwa mshirika wa kibiashara inayovutia.

مقاطعة مالانج الأنغولية .. كنز من الطبيعة البكر وفرص الاستثمار ...

الأقتصاد
Uchumi
أنجولا هي سابع دولة في أفريقيا من حيث المساحة، وأكبر دولة منتجة للنفط في القارة، وتملك 12٪ من الموارد المائية لإفريقيا، كما تحتل المركز الخامس على العالم من حيث إنتاج الماس وتملك ثاني أكبر الغابات في العالم
Angola ni nchi ya saba barani Afrika kwa hali ya eneo, na nchi kubwa zaidi inayozalisha mafuta katika bara hilo, na ina asilimia 12 ya rasilimali za maji kwa Afrika, na pia inashika nafasi ya tano ulimwenguni kwa suala la uzalishaji wa almasi na inamiliki msitu mkubwa wa pili ulimwenguni.



وقد شهدت أنجولا طفرة في نموها الاقتصادي في العقد الماضي، معتمدة على مصدرها الرئيسي للإيرادات: النفط
Angola imeshuhudia kuongezeka kwa ukuaji wake wa uchumi katika muongo mmoja uliopita, ikitegemea chanzo chake kikuu cha mapato: mafuta.اقتصاد أنغولا - ويكيبيديا



وعندما تراجعت عائدات صادرات النفط وهي العائدات الرئيسية من النقد الأجنبي، وهذا لانخفاض أسعار النفط العالمية في عام 2014، أصبح من الضروري وضع إستراتيجية للتخفيف من حدة الأزمة من خلال تنويع الاقتصاد وفصل المالية العامة عن قطاع النفط
Na wakati mapato ya usafirishaji wa mafuta ulipopungua, na ambayo ni mapato makuu ya fedha za kigeni, kwa sababu ya kushuka kwa bei ya mafuta duniani mwaka wa 2014, ikawa kuna muhimu kuweka mkakati ili  kupunguza mgogoro huo kupitia kutofautisha uchumi na kutenganisha fedha za umma kutoka sekta ya mafuta.

أنغولا: العمل على تنويع الاقتصاد والانفتاح على الأسواق العالمية ...

ففي عام 2015، سنت الحكومة قانون جديد للاستثمار الخاص (رقم 14/15) وأنشأت وكالة وطنية لتشجيع الاستثمار والتصدير، تحت اسم أبيكس
Mwaka 2015, serikali ilitunga sheria mpya ya uwekezaji binafsi (Na. 14/15) na ilianzisha shirika la kitaifa ili kuhamasisha uwekezaji na usafirishaji, kwa jina la Apex.


لكن، وجود ضرورة لعمل تعديلات للإطار القانوني والمؤسسي من أجل جعل عملية الأستثمار أسرع، أسهل وآمن، أقرت الحكومة في يونيو 2018 قانون الاستثمار الخاص الجديد (رقم 10/18 بتاريخ 26 يونيو) و انشأت وكالة تشجيع الاستثمار الخاص والتصدير
Lakini, kuna umuhimu wa kufanya marekebisho ya mfumo wa kisheria na wa kitaasisi ili kufanya mchakato wa uwekezaji haraka, rahisi na salama, Juni 2018 serikali ilipitisha Sheria mpya ya Uwekezaji Binafsi (Na. 10/18 ya Juni 26) na imeanzisha Shirika  la kuhamasisha uwekezaji wa kibinafsi na 
usafirishaji.




السياحة في أنغولا: سافاري ومنتجعات للترفيه توفر امكانية الاستثمار ...



الضمانات للمستثمرين
Dhamana kwa wawekezaji
القانون الجديد يخلق اطار اكثر وضوحا و جذبا للمستثمرين، من شأنه تحجيم البيروقراطية وحماية مصالحهم، دون التأثير على الخير العائد على الدولة
Sheria hiyo mpya inaunda mfumo ulio wazi na mzuri zaidi kwa wawekezaji, ambao unaweza kupunguza urasimu na kulinda masilahi yao, bila kuathiri  mapato ya nchi.
بنك أنجولا الوطني - ويكيبيديا

)أ) يحمي القانون حقوق المستثمرين القانونية ويضمن سلامة الأعمال والمشاريع
Sheria inalinda haki za kisheria za wawekezaji na inahakikisha usalama wa biashara na miradi
 (ب) وبعد الانتهاء من المشروع الاستثماري، يضمن لهم هذا القانون إعادة الأرباح والعائدات والمستحقات الخاصة بهم إلى بلادهم؛
Baada ya kukamilisha mradi wa uwekezaji, sheria hii inawahakikishia kwamba kurudisha faida zao, mapato na haki zao kwa nchi yao.
(ج) للمستثمرين من القطاع الخاص الحق في الحصول على ائتمان داخلي أو خارجي
Wawekezaji binafsi wana haki ya kupata mkopo wa ndani au wa nje.
د) المزايا الضريبيه، مزايا ذات طابع مالي و تسهيلات وغيرها من المزايا متاحه للمستثمرين
Faida za ushuru, faida za kifedha na faida zingine zinazopatikana kwa wawekezaji.



أنغولا: منطقة بنغيلا المتجددة تجذِب المستثمرين إليها | Euronews


القطاعات الأستراتيحيه للأستثمار
Sekta za kimkakati za uwekezaji
ﯾرﮐز ﻗﺎﻧون اﻻﺳﺗﺛﻣﺎر اﻟﺟدﯾد 10/18 ﻋﻟﯽ 9 ﻗطﺎﻋﺎت ﺳوﻗﯾﺔ ﻣﺣددة اﻷوﻟوﯾﺔ ﮐﻣﺎ ھو ﻣوﺿﺢ أدﻧﺎه
Sheria mpya ya uwekezaji 10/18 inazingatia sekta 9 za kipaumbele za soko, kama inavyoonyeshwa hapa chini.
1-  التعليم، التدريب الفني والمهني، التعليم العالي، البحث العلمي والتطوير
1- Elimu, mafunzo ya ufundi, elimu ya juu, utafiti wa kisayansi na maendeleo.
2- الزراعه والصناعات الغذائيه
2- Kilimo na viwanda vya chakula.
3- الوحدات والخدمات الصحية المتخصصة
3- Sehemu maalumu za huduma ya afya.
4- إعادة تشجير الغابات ، والتحويل الصناعي لموارد  الغابات
4- Kupanda miti upya, na ubadilishaji wa viwandani wa rasilimali za misitu.
5- المنسوجات، الملابس والأحذيه
5- Vitambaa, nguo na viatu.
6- الضيافه، السياحه والترفيه
6- Ukarimu, utalii na burudani.
7- البناء، لأشغال العامة، الأتصالات والمعلومات، البنيه التحتيه للمطارات والسكك الحديديه
7- Ujenzi, kazi za umma, mawasiliano na habari, miundombinu ya uwanja wa ndege na reli.
8- انتاج وتوزيع الطاقه
8- Uzalishaji na usambazaji wa Nishati.
9-  الصرف الصحي الأساسي وجمع ومعالجة المخلفات الصلبة.
9- Usafi wa takataka na kuzikusanya na kutengeneza upya takataka ngumu.



شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات