الأربعاء، 1 أبريل 2020

Hebu Tujue Sudan


صور علم السودان رمزيات والوان العلم السوداني | ميكساتك
فاز السودان بكأس الأمم الإفريقية. أشهر فرق كرة القدم نادي المريخ ...


السودان له حضارة ضاربة في التاريخ، تتماس وتتشارك مع الحضارة المصرية القديمة، وهو ما تكشف عنه وتؤكده الحفريات والآثار السودانية، ويُوصف السودان قديماً وحديثاً بأنه قارة في حد ذاته، من حيث مساحة أراضيه الشاسعة قبل، وبعد انفصال دولة جنوب السودان التي تصل إلى ثُلث المساحة الإجمالية للسودان، وكذلك من حيث التنوع العرقي والإثنى، والثقافي واللغوي. 
Sudan ina Ustaarabu muhimu sana katika historia, unafanana na kushirikiana na Ustaarabu wa Misri ya kale,Ustaarabu ambao uligunduliwa na kuthibitishwa na michoro na makaburi ya Sudan, na Sudan ya zamani na ya sasa inaelezwa  kwamba ni kama bara kwa jinsi ilivyo, kwa upande wa ukubwa wa ardhi yake kabla na baada ya kujitenga na Sudan ya kusini ambayo ukubwa wake unafikia theluthi ya ukubwa wa ujumla wa Sudan  na pia kuhusu suala la tofauti ya makabila , utamaduni na  lugha .
فندق كورنثيا برج الفاتح سابقا - اجمل صور فى السودان | Facebookالمخرج التلفزيوني المعروف "إبراهيم سائحون" يُحوِّل صور الخرطوم إلى ...

أُطلق إسم بلاد السودان على الجزء الذى يقع جنوب الصحراء الكبرى الأفريقية والذى يمتد من المحيط الاطلسى غرباً إلى البحر الأحمر والمحيط الهندى شرقاً، بينما يُقصد بهذا الإسم الآن الرقعة التى تقع جنوب مصر الجزء الأوسط من حوض النيل، وقد ورد فى التوراة والنصوص الشورية فقد أُطلق إسم "كوش" على هذه الرقعة من الأرض، أما الإسم الحالي (السودان) فهو جمع كلمة "أسُود" باليونانية. 
Jina la Sudan limeitwa kutokana na kuwepo kwake Kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linaanzia Bahari ya Atlantiki Magharibi hadi Bahari ya  Shamu na    Bahari ya India  Mashariki, lakini jina hilo kwa sasa linahusu  sehemu ya kusini mwa Misri, sehemu ya kati ya bonde la Mto Nile , na imetajwa  katika Taurati,  kipande hiki cha ardhi kiliitwa "Kush", na jina la sasa (Sudan)

شاهد بالصور : السودان بعيون سعودية - السودان اليوم

الموقع والمساحة 
Mahali na ukubwa
 يقع السودان فى الجزء الشمالي الشرقي من قارة أفريقيا، ويحتل موقعاً وسطاً يربط أفريقيا بالوطن العربى، هذا الموقع أكسب السودان ميزة فريدة باعتباره المعبر الرئيسي بين شمال أفريقيا وجنوبها.
Sudan ipo katika sehemu ya kaskazini-Mashariki ya bara la Afrika, na inachukua nafasi ya kati inayounganisha Afrika na ulimwengu wa Kiarabu, sehemui hii ilipata sifa  ya kipekee kwa kuzingatia kuwa ni njia kuu kati ya Kaskazini na Kusini mwa Afrika
تبلغ مساحة السودان بعد انفصال دولة جنوب السودان حوالى (1.882.000 مليون كيلو متر مربع)، وهو بذلك أحد أكبر الدول الأفريقية كما يأتى فى المرتبة السادسة عشرة بين بلدان العالم الأكبر مساحة، وهو ثاني أكبر الدول الأفريقية بعد الجزائر وثالث الدول العربية بعد المملكة العربية السعودية والجزائر.
Ukubwa wa Sudan baada ya kujitenga kwa  Sudan Kusini unafika karibu  (kilomita za mraba milioni 1.882.000), ambayo ni moja wapo ya nchi kubwa zaidi  barani Afrika na ipo katika nafasi ya 16 kati ya nchi zenye ukubwa zaidi duniani, nchi ya pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya Algeria na ni nchi ya tatu miongoni mwa nchi za Kiarabu baada ya Ufalme wa Saudi Arabia na Algeria.
يجاور السودان سبع دول هي: (مصر، ليبيا، تشاد، أفريقيا الوسطى، إثيوبيا، إريتريا، وجمهورية جنوب السودان).
المناخ
Nchi saba ni jirani ya Sudan nazo ni : ( Misri , Libya , Chadi , Afrika ya kati, Ethiopia , Eritrea , na jamhuri ya Sudan ya kusini) .


السودان أصل الحضارة (صور)

المناخ
Hali ya hewa.
يسود السودان المناخ المدارى الذى يتميز بارتفاع درجات الحرارة معظم أيام السنة، ويتدرج من جاف جداً فى أقصى الشمال إلى شبه رطب في الجنوب، مناخ صحراوي وشبه صحراوي في شماله (الولاية الشمالية وشمال كردفان وشمال دارفور)، وممطر في الأوسط وفي جنوبه كما أن معظم أرضه سهول منبسطة مع وجود مرتفعات في الشرق وسلسلة جبال النوبة وجبال مرة بالغرب.
Sudan ina hali ya hewa ya kitropiki yenye sifa ya joto kali katika siku nyingi za mwaka, ni kavu sana kaskazini na yenye unyevu kusini, hali ya hewa ya jangwa na  nusu ya jangwa kaskazini (Jimbo la Kaskazini na Kordofan Kaskazini na Darfur Kaskazini), na inakuwa na mvua katikati na kusini na zaidi ya ardhi Tambarare na miinuko Mashariki,mfululizo wa  milima ya Nuba na Milima ya Marra upande wa Magharibi.

بالصور: أهرامات السودان المنسية - أريبيان بزنس

تتراوح معدلات الأمطار السنوية ما يقارب الصفر في أقصى الشمال إلى 500 ملم إلى 1000 ملم في السودان، ويلعب النيل بروافده المختلفة دوراً حيوياً فى حياة السودان الاقتصادية والاجتماعية والثقافية وفي العلاقات الخارجية، وتُستغل مياه النيل وروافده في توليد الكهرباء من خزانات الروصيرص وسنار وخشم القربة، جبل أولياء ومروي، كما يستخدم فى الملاحة وصيد الأسماك.
Viwango vya mvua ya kila mwaka vinaanzia karibu sifuri kaskazini hadi 500 mm hadi 1000 mm nchini Sudan. Mto wa Nile una jukumu muhimu sana katika maisha ya sudan ya kiuchumi , kijamii na kitamaduni na katika mahusiano ya nje , Maji ya Mto wa Nile na matawi yake hutumiwa kutengeneza umeme kutoka kwenye mabwawa ya Rosers, Sennar, Kheshm Al-Qirba, Jabal Awlia na Meroe, na kwa urambazaji na uvuvi.


قانون الوصول للمعلومات في السودان، نعمة ام نقمة؟ – SMEXصور السودان - صور منطقة خزان جبل أولياء - صور الخرطوم

التضاريس
أراضي السودان بشكل عام عبارة عن سهل رسوبي منبسط ينحدر قليلاً من الشرق والغرب نحو الوسط وينحدر السهل بأكمله من الجنوب نحو الشمال، تتخلله مرتفعات تغطي أقل من نسبة 5% من مساحته الإجمالية، وتتنوع تضاريس أرضه إلى: سهول غرينية في الوسط كسهول الجزيرة، صحاري مثل صحراء بيوضة وصحراء النوبة وصحراء العتمور، شبه صحاري في الشمال، السافانا الرطبة (الغنية بالحشائش) والجافة في الوسط والجنوب الأوسط والجنوب الشرقي، سلسلة تلال التوائية في الشرق والشمال الشرقي مثل تلال البحر الأحمر، وجبال النوبة في كردفان وجبال الأنقسانا في ولاية النيل الأزرق، تلال منعزلة في مناطق متفرقة في الوسط مثل تلال القضارف في الشرق وجبل الداير في الغرب، جبال بركانية منعزلة في أقصى الغرب والشرق مثل جبل مرة في دارفور وجبال التاكا وجبل توتيل في ولاية كسلا وجبل الميدوب في الركن الشمالي الغربي، بالإضافة إلى شريط ساحلي على البحر الأحمر.

Hali ya ardhi
Ardhi ya Sudan kwa ujumla ni tambarare na miteremko kidogo kutoka Mashariki na Magharibi kuelekea katikati na tambarare nzima kutoka Kusini kwenda Kaskazini, ina miinuko  yenye asilimia chini ya tano ya ukubwa wake wa jumla, hali ya ardhi yake inatofautiana tambarare  katikati kama tambarare za  kisiwa, majangwa  kama jangwa la Bayda , Nuba na jangwa la Atmur, nusu ya  jangwa kaskazini,  Savvanah yenye unyevu ( yenye nyasi nyingi) kavu katikati na kusini ya kati na kusini ya Mashariki, na mfululizo wa milima ya Tawaea Mashariki na kaskazini  Mashariki kama milima ya Bahari ya Shamu , na milima ya Nuba huko Kurdufan na mlima wa Ankasa katika wilaya ya Nile ya bluu , milima iliyotengwa katika maeneo mbalimbali katikati kama milima ya Kadarif Mashariki na mlima wa Dair Magharibi, milima mbali mbali  ya volkano iliyotengwa Magharibi na Mashariki, kama vile mlima wa Marra huko Darfur, Milima ya Taka, Mlima Thotel katika wilaya ya Kassala na mlima wa  Meydoub katika upande wa kaskazini Magharibi, na pia ukanda wa pwani kwenye Bahari ya Shamu.

الاقتصاد السوداني .. موارد طبيعية لا تُسمن ولا تُغنِ من جوع ...نصوص و مواد قانون الغابات و الموارد الطبيعية المتجددة السوداني ...


الموارد الطبيعية
يزخر السودان بالعديد من الثروات الطبيعية والمعدنية ومن أهمها: النفط، الحديد، الذهب، النحاس، الكروم، الزنك، أما الثروة الحيوانية فهي تتمثل في: الإبل، والضأن، والماعز، والطيور، والحيوانات البرية، بالإضافة إلى الأراضي الصالحة للزراعة والتي تُقدر بحوالي 200 مليون فدان، ومصادر المياه المتنوعة في السودان من الأنهار، ومياه الأمطار، والمياه الجوفية. 
. Rasilimali asili
Sudan ina utajiri wa rasilimali nyingi za asili na madini, ambayo muhimu zaidi ni mafuta, chuma, dhahabu, shaba, chromium na zinki , na utajiri wa wanyama kama : ngamia, kondoo, mbuzi, ndege, wanyama wa porini, na ardhi nzuri ya kilimo inayokadiriwa kuwa ekari milioni 200. Vyanzo tofauti vya maji vya Sudan ni kama vile maji ya mito, maji ya mvua na maji ya ardhini.


السكان 
يُقدر عدد السكان في 2018 بحوالي 43 مليون نسمة، وكان عدد سكان السودان عقب انفصال جنوب السودان 33.419.000 مليون نسمة وفق التقدير الإحصائي لعام 2011م، ويتكون سكان السودان من قبائل تنحدر من أصول عربية وأفريقية ونوبية، ويشكل الشباب النسبة الغالبة من السكان.
Idadi ya watu ( wakazi )
Idadi ya watu mwaka 2018 inakadiriwa kuwa milioni 43, Idadi ya watu wa Sudan baada ya kujitenga na Sudan Kusini ilikuwa milioni 33.419.000 kulingana na makadirio ya takwimu ya mwaka wa 2011. Watu wa Sudan wana makabila ya asili ya Kiarabu, Kiafrika na kinuba , na idadi kubwa ya watu ni vijana .
ـ
قريعتي راحت #يوليو_الخلاص 🤕 on Twitter: "منطقة جبل مره بغرب ...


 الديانة: الإسلام، المسيحية.
Dini : Uislamu na Ukristo
ـ اللغة: اللغة العربية هي اللغة الرسمية، وتُستخدم كذلك اللغة الإنجليزية، وهناك لهجات محلية مستخدمة في ولايات (الشمالية، جنوب كردفان، كسلا، دارفور، والبحر الأحمر).  
Lugha: Kiarabu ndio lugha rasmi, na Kiingereza pia hutumika , Kuna lahaja za kienyeji zinazotumika katika majimbo (Kaskazini, Kurdufan Kusini, Kassala, Darfur, na Bahari Shamu).
ـمساجد وكنائس الخرطوم تنشد الوحدة

 عيد الاستقلال: 1 يناير من كل عام، ففي 1 يناير 1956، نال السودان استقلاله، وفي 9 يوليو 2011م، تم إعلان الجمهورية السودانية الثانية، بعد انفصال دولة جنوب السودان.
Siku ya Uhuru : Ni mwezi wa Januari 1  kila mwaka ,
Januari 1, 1956, Sudan ilipata uhuru wake , na Julai 9, 2011, Jamhuri ya pili ya Sudan ilitangazwa baada ya kujitenga  na Sudan Kusini.


الشعار: صقر الجديان
 شعار الدولة، صقر الجديان: صورة (صقر الجديان)، ومُصور بين جناحيه إطار مكتوب عليه (النصر لنا)، وفي قاعدته إطار على شكل قوس مكتوب داخله عبارة (جمهورية السودان). ويمتاز (صقر الجديان) بالقوة والطيران على ارتفاع شاهق، والنظر الحاد، ويستطيع أن يطير لمسافات بعيدة، ويوجد بمناطق كردفان ودارفور والنيل الأزرق والأماكن الجافة بالجنوب.

وزارة الخارجية السودانية
Nembo: Tai wa jedian
 Nembo ya nchi , Tai wa jedia, picha (Tai wa jedian), aliye katika picha  na mabawa yake yameandikwa juu yake (ushindi kwetu) na katika sura ya mkao wake katika mfumo wa upinde ulioandikwa ndani maneno (Jamhuri ya Sudan). Tai wa  jedian anasifika  kwa nguvu na kuruka kwa umbali wa juu zaidi, na mwenye mtazamo mkali, na anaweza kuruka umbali mrefu, na anapatikana maeneo ya Kurdufan, Darfur, Nile ya bluu na sehemu kavu za kusini.
اتُخذ هذا الشعار في النصف الأول من السبعينات في عهد حكم الرئيس الأسبق/ جعفر محمد نميرين (1969 – 1985)، بديلاً للشعار الذي كان سائداً من قبل وهو (حيوان الكركند) أو (وحيد القرن). 
Nembo hii ilipitishwa katika nusu ya kwanza ya miaka ya sabini wakati wa utawala wa Rais wa zamani  Jafar Muhammad Nimeirin (1969-1985), ikichukua nafasi ya nembo iliyokuwepo, ambayo ni kifaru.


العلم
Bendera
ألوان علم السودان هي الألوان الأربعة: الأحمر والأخضر والأسود والأبيض، وفي العلم السوداني (يشير الأحمر للثورة الشعبية والكفاح لنيل الاستقلال ودم الأحرار، ويشير الأخضر للزراعة والازدهار، ويشير الأسود إلى العهود الماضية ويجسد الشجاعة والاعتزاز بالوطن والتراث، والأبيض للسلام. Bendera ya Sudan ina rangi nne: nyekundu, kijani , nyeusi na nyeupe, na katika bendera ya Sudan (nyekundu huashiria mapinduzi ya wananchi na kupigania uhuru na damu za wapiganiaji uhuru, kijani huashriria kilimo na ustawi, na nyeusi huashiria mambo ya zamani na husifu  ujasiri na utukufu wa nchi na urithi, na nyeupe ni amani.
النشيد الوطني 
Wimbo wa kitaifa
للشاعر: أحمد محمد صالح، الملحن: أحمد مرجان
Mshairi : Ahmed Mohammed Swaleh, Mtunzi : Ahmed Morjan.
نحن جند الله جند الوطن إن دعا داعي الفداء لم نخن
Sisi ni askari wa Mungu, askari wa nchi, ikiwa ni lazima tufe hatutakataa
نتحدى الموت عند المِحن نشترى المجـد بأغلى ثمن
Tunapambana na kifo wakati wa shida, tananunua utakatifu kwa bei ghali zaidi  
هذه الأرض لنا فليعش ســــوداننا عَلماً بين الأمم
Hii ardhi ni yetu, Sundan yetu iishi kama bendera baina ya mataifa
يا بني السودان هذا رمزكم
Enyi wana wa Sudan hii ni alama yenu
يحمل العبء ويحمى أرضكم
Inabeba mzigo na kuilinda ardhi yenu


المدن الكبرى:
Miji mikubwa
الخرطـوم: العاصمة القومية وتقع في الوسط عند ملتقى النيلين الأزرق والأبيض، نيـــالا: عاصمة ولاية جنوب دارفور وتقع على ضفاف خور نيالا غربي السودان، بورسودان: عاصمة ولاية البحر الأحمر وتقع على ساحل البحر الأحمر- شرقي السودان، ود مدني: عاصمة ولاية الجزيرة وتقع في وسط السودان على الضفة الغربية للنيل الأزرق، الأُبيض: عاصمة ولاية شمال كردفان في الغرب الأوسط. 
Khartoum: Mji mkuu wa kitaifa uliopo katikati ya makutano ya Mito miwili Nile ya bluu na Nile nyeupe ,  Nyala: Mji mkuu wa wilaya ya Darfur Kusini na ulioko kando ya Khor Nyala huko Sudan Magharibi, Port Sudan : Mjii mkuu wa wilaya ya Bahari ya Shamu na upo kwenye pwani  ya Bahari Shamu Sunadi Mashariki , Wad Madny: Mji mkuu wa jimbo la kisiwa uliopo katikati ya Sudan kwenye upande wa  Magharibi ya Nile ya bluu, nyeupe: mji mkuu wa wilaya ya Kurdufan Kaskazini katika Magharibi ya kati.


إعفاء بعض أئمة المساجد بولاية الخرطوم بتهمة الخروج على المسار ...اخبار السودان عاجل الخميس 16/3/2017 - مبعوث أوروبي يستفسر نوابا ...


الجيش
Jeshi
أنشئ الجيش السوداني في العام 1925، وعقيدته تقوم على أساس الدفاع عن الوطن والحفاظ على سيادته ووحدته الوطنية.
Jeshi la Sudan  lilianzishwa mwaka wa 1925, na itikadi yake inategemea kutetea  nchi na kulinda utawala wake na umoja wake wa kitaifa
الشرطة
Polisi
أسس حاكم السودان العام "ونجت باشا" بوليس المديريات (المحافظات) واستعان أيضاً بشيوخ القبائل لبسط الأمن والنظام في البوادي، وباستقلال السودان في 1956م انضمت الشرطة السودانية إلى منظمة الإنتربول (البوليس الدولي).
Mtawala mkuu wa Sudan ( Wangat Basha ) alianzisha vituo vya polisi mikoani na aliomba msaada ya wazee wa makabila ili kueneza  usalama na nidhamu katika Bawadi . Na Baada ya uhuru wa Sudan mwaka 1956 , polisi wa Sudan walijiunga na polisi wa kimataifa (Interpole )
وابتداءً من عام 1990م، شهدت الشرطة تغييراً كبيراً في بنيتها، حيث دمجت قوات وزارة الداخلية في قوة واحدة عُرفت باسم الشرطة الموحدة، وتم تأسيس الشرطة الشعبية، وشرطة المنشآت الاقتصادية، وشرطة السياحة والآثار، وشرطة الطيران المدني، والشرطة الأمنية (شرطة لرقابة انضباط قوات الشرطة)، وفي عام 1992م، تم ترفيع كلية الشرطة وتغيير اسمها إلى أكاديمية الشرطة التي تم ضمها في عام 2000م، إلى جامعة الرباط الوطني .. 
Kuanzia 1990, polisi walishuhudia mabadiliko makubwa katika muundo wake, ambapo vikosi vya Wizara ya Mambo ya ndani vilikusanywa na kuwa nguvu moja iliyoitwa umoja wa polisi, na kuanzishwa  polisi wa raia, polisi wa majengo ya kiuchumi, polisi wa Utalii na vitu vya kale , polisi wa anga, polisi wa usalama  ( polisi wa kusimamia vikosi vya polisi )  na mwaka 1992 ,  kilianzishwa kitivo cha polisi na jina lake lilibadilishwa kuwa Chuo cha Polisi ambacho kiliunganishwa na kuwa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Ribat .


جبل مرّة في السودان جمال طبيعي فريد | القدس العربيالمهرجانات السياحية بالولايات تهدف الى تعريف مايذخر به السودان من ...

النظام السياسي
ينص مشروع دستور جمهورية السودان الانتقالي لسنة 2005 في الفصل الأول من الباب الأول (الدولة والدستور والمبادئ الموجهة) على أن جمهورية السودان دولة مستقلة ذات سيادة، وهى دولة ديمقراطية لا مركزية، تتعدد فيها الثقافات واللغات وتتعايش فيها العناصر والأعراق والأديان، وتلتزم الدولة باحترام وترقية الكرامة الإنسانية، وتُؤسس على العدالة والمساواة والارتقاء بحقوق الإنسان وحرياته الأساسية وتتيح التعددية الحزبية، وأن السودان وطن واحد جامع تكون فيه الأديان والثقافات مصدر قوة وتوافق وإلهام، والسيادة للشعب، تُمارسها الدولة طبقاً لنصوص هذا الدستور والقانون.
Mfumo wa kisiasa
Rasimu ya katiba ya Jamhuri ya Sudan ya mpito ya mwaka 2005 katika kifungu cha kwanza    ( nchi, katiba na kanuni za kuongoza ) inasema kwamba Jamhuri ya Sudan ni nchi huru yenye utawala, na ni nchi ya demokrasia, yenye tamaduni nyingi na lugha tofauti na makabila na dini huishi pamoja kwenye ardhi yake , nchi imejikita  katika heshima na ukuzaji wa haki za binadamu, imeanzishwa kwa uadilifu na usawa na ukuzuji wa haki za binadamu na uhuru wake wa kimsingi na huruhusu uwepo wa vyama vingi, na kwamba Sudan ni nchi moja iliyojumuisha dini na tamaduni huunda chanzo cha nguvu na makubaliano na msukumo na utawala wa wananchi, unaotekelezwa kwa mujibu wa vifungu vya  katiba hii na sheria .


شلالات سودانية.. وفرة الموارد الطبيعية وقلة العناية الحكومية ...الطبيعة في السودان... تعرف على طبيعة السودان الخلابة من شلالات ...



السلطة التنفيذية

تتكون السلطة التنفيذية القومية من رئاسة الجمهورية ومجلس الوزراء القومي، وفقاً للدستور الانتقالي 2005، والرئيس ينتخبه الشعب مباشرة في انتخابات قومية وفقاً للقانون والنظم التي تضعها المفوضية القومية للانتخابات.
السلطة التشريعية .. المجلس الوطني الخامس (الحالي)
اعتمدت المحكمة العليا فى السودان 17 مايو 2015، النتائج النهائية للانتخابات الرئاسية والبرلمانية التى أعلنتها المفوضية القومية للانتخابات فى 27 أبريل 2015، واعتبرت المحكمة قراراتها الصادرة فى هذا الشأن نهائية.
Utawala wa utendaji.
Mtendaji wa Kitaifa atakuwa ni Rais wa Jamhuri na Baraza la Kitaifa la Mawaziri, kulingana na Katiba ya Mpito ya 2005. Rais atachaguliwa moja kwa moja na watu katika uchaguzi wa kitaifa kulingana na sheria na kanuni zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Utawala wa Sheria: Bunge la tano la Kitaifa (la sasa)
Mahakama Kuu ya Sudan Mei 17, 2015, ilipitisha matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa Rais na Bunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 27 Aprili 2015, na mahakama inazingatiwa maamuzi yake kuhusu suala hili ni ya mwisho .

 قناة المملكة - البرلمان يقلص حالة الطوارئ إلى 6 أشهرΟ χρήστης عوض مناع στο Twitter: "#صور | #البرلمان #السوداني ، في ...

وبدأ البرلمان السودانى الجديد نشاطه في يونيو 2015، وأدى رئيس الجمهورية المنتخب الرئيس الحالى عمر البشير، اليمين الدستورية أمام البرلمان فى 2 يونيو من نفس العام، وبدأ الولاية الرئاسية الجديدة التى امتدت لخمس سنوات تنتهى فى مايو 2020.
وكان حزب المؤتمر الوطنى "الحاكم" قد حصل على 323 مقعداً فى البرلمان من مجموع 426 مقعداً، يليه الحزب الاتحادي الديمقراطى "الأصل"، الذى حصل على 25 مقعداً، فيما نال المستقلون 19 مقعداً، ونال الحزب الاتحادى الديمقراطى "المسجل" 15 مقعداً.
Bunge jipya la Sudan lilianza shughuli Juni 2015, na Rais Omar al-Bashir aliyechaguliwa kuwa Rais, aliapa mbele  ya Bunge Juni 2 mwaka huo huo, na akaanza kipindi kipya cha Urais wa miaka mitano (kilikuwa kimalizike) Mei 2020.
Chama tawala cha National Congress (NCP) kilishinda viti 323 Bungeni kati ya viti 426, ikifuatiwa na Chama cha Demokrasia (NDP) kilichopata viti 25, wagombeaji binafsi viti 19 na Chama cha Kidemokrasia kilipata viti 15.
السلطة القضائية
السلطة القضائية مستقلة عن السلطة التنفيذية والتشريعية، وكذلك هي مستقلة مالياً وإداريًا، ورئيس القضاء في الجمهورية هو رئيس السلطة القضائية ورئيس المحكمة القومية العليا، وقد تأُسس الجهاز القضائي السوداني عام 1899.
Utawala wa Mahakama.
Utawala wa Mahakama unajitegemea kutokana na utawala wa utendaji na sheria, na pia unajitegemea kifedha na kiidara. Mkuu wa mahakama katika Jamhuri ni Mkuu wa utawala wa Mahakama kuu ya Kitaifa. Mahakama ya Sudan ilianzishwa mwaka 1899.



الاقتصاد
السودان قطرٌ شاسع وغني بالموارد الطبيعية؛ والأراضي الزراعية الخصبة، والثروة الحيوانية، والمعدنية، والنباتية، والمائية، ويعتمد السودان على الزراعة، إذ هي 80٪ من نشاط السكان، كما يعتمد أيضاً على الصناعة، وخصوصاً الصناعات الزراعية، حيث تشكل الزراعة وتربية الماشية أهم المصادر الرئيسية لكسب العيش في السودان وذلك لنحو أكثر من 61% من السكان العاملين في أوائل عام 1990م، ويُعتبر السودان واحداً من أكبر ثلاث بلدان في القارة الأفريقية من حيث المساحة وواحد من أهم بلدان العالم التي تتوافر فيه المياه والأراضي الزراعية الصالحة للزراعة، مما يجعله "سلة غذاء" عالمية مؤكدة. 

Uchumi.
Sudan ni nchi kubwa yenye utajiri wa maliasili; ardhi ya kilimo yenye rutuba, mifugo, madini, mimea, Sudan  inategemea kilimo, kwani hutegemea asilimia 80 ya shughuli za wananchi , Pia inategemea viwanda, haswa viwanda vya kilimo, ambapo kilimo na ufugaji ndio vyanzo muhimu vya maisha nchini Sudan kwa zaidi ya asilimia 61 ya watu wanaofanya kazi mwanzoni mwa miaka ya 1990. Sudan ni moja wapo ya nchi tatu kubwa zaidi  barani Afrika kwa upande wa ukubwa na moja wapo ya nchi muhimu zaidi duniani inayo  maji na ardhi yenye kilimo bora, na kuifanya kuwa "kikapu" cha chakula cha kimataifa.
بالإضافة إلى التنمية الصناعية في السودان من تجهيز المنتجات الزراعية والصناعات الخفيفة المختلفة التي تقع في شمال الخرطوم، بالإضافة إلى مجمع جياد الصناعي في ولاية الجزيرة والذي يعمل على تجميع السيارات الصغيرة والشاحنات، وبعض المعدات العسكرية الثقيلة مثل ناقلات الجنود المدرعة، والصناعات التحويلية الأخرى مثل صناعة (الإيثانول) في مصنع سكر كنانة، ويعتبر السودان أول دولة عربية منتجة للإيثانول، وقد بلغ إنتاجه حوالي 30 مليون لتر (عام 2011 م) غطى الطلب المحلي وتم تصدير جزء منه إلى دول الاتحاد الأوروبي والدول العربية، ويعتبر السودان ثاني أكبر منتج للإيثانول في أفريقيا بعد جنوب أفريقيا. 

تقرير أداء موازنة الربع الأول يعكس تدني الاقتصاد السوداني | الشرق ...السودان.. خطة إنقاذ اقتصادي تواجه "ثورة الإخوان المضادة" | أخبار ...

Vilevile maendeleo ya viwanda nchini Sudan kutokana na usindikaji wa bidhaa za kilimo na viwanda vidogo vidogo tofauti vilivyopo kaskazini mwa Khartoum, pamoja na kiwanda cha Jiad katika jimbo la kisiwa hicho, ambacho hufanya kazi ya kuunganisha magari madogo na malori, na baadhi ya  ifaa vizito v vya jeshi kama vile vya ubebaji askari . Viwanda vingine vya kutengeneza madini kama Ethanol kwenye Kiwanda cha sukari cha Kinana. Sudan ndio mtengenezaji wa kwanza wa Kiarabu wa Ethanol , Uzalishaji wake ulifikia takriban lita milioni 30 (2011), ambayo ilishughulikia mahitaji ya ndani na sehemu yake ilisafirishwa kwenda nchi za umoja wa Ulaya na nchi za Kiarabu. Sudan ni mzalishaji wa pili mkubwa wa Ethanol barani Afrika baada ya Afrika Kusini.

التضخم والدولار يقيدانه.. اقتصاد السودان لا يزال تحت الصدمةالسودان يحتاج إلى دعم يصل إلى 5 مليارات دولار لمنع الانهيار ...

السياحة
تتميز جمهورية السودان باحتوائها على مزيج مُدهش من الآثار القديمة والموارد الطبيعية الرائعة، ويتميز الشعب السوداني بالود وحسن الضيافة، ومن أهم الأماكن السياحية في السودان، أهرامات مروي التي تُعد أشهر مناطق الجذب السياحي في السودان، وجبل البركل ذو القمة المسطحة، ويقع في شمال العاصمة السودانية، وتمَّ إدراجه كموقع للتراث العالمي لليونسكو، ومنطقة وساحل البحر الأحمر الذي يقصده الكثير من السياح من أجل التمتع بمياه البحر الأحمر الصافية، وشعابه المرجانية المميزة.
Utalii
Jamhuri ya Sudan ina sifa ya mchanganyiko wa ajabu katika  jumba lake la  makumbusho na maliasili nzuri.Watu wa Sudan ni watu wema na wenye ukarimu. Sehemu muhimu zaidi za Utalii huko Sudan, piramidi za Meroe, ambazo huwavutia  watalii zaidi huko Sudan, na Mlima Barkal, ulioko Kaskazini mwa mji mkuu wa Sudan, na umeorodheshwa kama mahali pa  Urithi wa dunia na UNESCO,  eneo na pwani ya Bahari ya Shamu ambapo watalii wengi huenda ili kustarehe kwa sababu ya  maji mazuri  ya Bahari ya Shamu, na miamba yake ya matumbawe.
كما تُعتبر مدينة الخرطوم الشهيرة بالعاصمة المثلثة من أهم الوجهات السياحية، حيث تحتوي على العديد من المباني التاريخية، والمتاحف العريقة، والأسواق، ومدينة أم درمان، وهي أيضاً أفضل المدن السودانية التي تعكس تاريخ البلاد، وتحتوي على سوق هو أكبر الأسواق في البلاد، ثم محمية الدندر القومية، وهي أهم محمية للحياة البرية في السودان..
السودان: وجهة سياحة غائبة عن العالم العربي - رصيف 22


Mji maarufu wa Khartoum, ni maarufu kama mji mkuu wa pembe tatu ni moja wapo ya maeneo muhimu ya watalii, ambayo ina majengo mengi ya kihistoria, makumbusho ya zamani  na masoko ,
Omdurman, pia mji mzuri zaidi wa Sudan unaoonesha historia ya nchi hiyo, una soko kubwa zaidi nchini, mbuga ya  Taifa ya Dinder ni eneo la hifadhi muhimu ya wanyamapori wa Sudan.
الأحزاب السياسية
تبقى الأحزاب السياسية هي أحد أهم مكونات العمل السياسي في السودان، ويصل عددها حالياً إلى نحو (67) حزباً سياسياً، مسجلاً لدى مسجل الأحزاب .. منها:
- حزب المؤتمر الوطني "الحاكم".
- حزب الأمة القومي.
- حزب الأمة القيادة الجماعية.
- حزب الأمة الإصلاح والتجديد.
- حزب الأمة الإصلاح والتنمية.
- حزب الأمة الوطني.
- حزب الأمة الفيدرالي.
- الحزب الاتحادي الديمقراطي.
- الحزب الاتحادي الديمقراطي الأمانة العامة.
- الحزب الشيوعي السوداني.
- حزب المؤتمر الشعبي.

الإعلام
ينص الدستور الانتقالي للسودان لعام 2005، على أن "لكل مواطن حق لا يُقيد في حرية التعبير وتلقي ونشر المعلومات والمطبوعات والوصول إلى الصحافة دون مساس بالنظام والسلامة والأخلاق العامة"، و"تكفل الدولة حرية الصحافة ووسائل الإعلام الأخرى وفقاً لما ينظمه القانون في مجتمع ديمقراطي"، كما "تلتزم كافة وسائل الإعلام بأخلاق المهنة وبعدم إثارة الكراهية الدينية أو العرقية أو العنصرية أو الثقافية أو الدعوة للعنف أو الحرب"
Vyama vya kisiasa 
Vyama vya kisiasa vinabaki kuwa ni moja ya sehemu muhimu zaidi ya kazi ya kisiasa nchini Sudan, na idadi yake inafikia vyama 67 vya kisiasa kwa hivi sasa, vilivyosajiliwa na msajili wa vyama , kama: 
Chama Tawala  cha Mkutano cha Taifa .
Chama cha kitaifa cha umma 
Chama cha  uongozi cha umma 
Chama cha umma cha  kuboresha na mageuzi  
Chama cha kuboresha na maendeleo cha umma 
Chama cha umma cha kitaifa 
Chama cha umma cha kifedrali 
Chama cha umoja cha kidemokrasia 
Chama cha umoja cha kidemokrasia cha uaminifu mkuu 
 Chama cha Kikomunisti cha Sudan 
Chama cha mkutano cha umma 
Vyombo vya habari 
Katiba mpito ya Sudan ya mwaka 2005 inasema kwamba " kila mwananchi ana haki na uhuru wa kujieleza na kupokea na kusambaza taarifa na machapisho na kuyafikisha kwa waandishi wa habari bila kudhuru mpangilio na amani na maadili ya jumla " " Serikali italinda uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vingine vya habari kulingana na kilichopangwa na kanuni katika jamii ya kidemokrasia " pamoja na " vyombo vyote vya habari vinavyofuata maadili ya kazi na kutochochea chuki za kidini au kikabila au ubaguzi au kiutamaduni au wito wa vurugu au wa vita

الإعلام الحكومي السوداني.. لا صوت يعلو سلطة "الإنقاذ"

الصحافة:
طبقاً لما أورده التقرير السنوي الصادر عن المجلس القومي للصحافة والمطبوعات بالسودان عام 2017، بلغ عدد الصحف العاملة بصورة منظمة (45) صحيفة، تتنوع ما بين (29) صحيفة سياسية، و(10) صحف رياضية، و(6) صحف اجتماعية، والكمية المطبوعة لكل الصحف أكثر من (91) مليون نسخة، توزيعها كالتالي: (48) مليون نسخة للصحف السياسية، و(28) مليون نسخة للصحف الرياضية، و(13) مليون نسخة للصحف الاجتماعية.
Waandishi wa habari 
Kulingana na ripoti ya  kila mwaka iliyotolewa na baraza la kitaifa la waandishi wa habari na machapisho nchini Sudan mwaka 2017 , ilisemwa kwamba idadi ya magazeti yanayofanyakazi kwa utaratibu ni magazeti 45 , yaliyogawanyika kati ya  magazeti 29 ya kisiasa , na 10 ya michezo , na 6 ya kijamii , na kiasi kilichochapishwa kwa magazeti yote ni zaidi ya nakala milioni 91 , yanasambazwa kama ifuatavyo : nakala milioni 48 za magazeti ya kisiasa , na nakala milioni 28 za magazeti ya kimichezo , na nakala milioni 13 za magazeti ya kijamii 
أهم المواقع الإلكترونية: المركز السوداني للخدمات الصحفية "smc"، سودانيل، الركوبة، سفاري، شبكة الشروق، سودانيز أونلاين، النيلين، رماة الحدق، حريات، الفكرة..
Mitandao muhimu zaidi  ya kielektroniki 
Kituo cha kisudan kwa huduma za waandishi wa habari "SMC" , Sodanil , Rakoba , Safari, mtandao wa El Shrouk, Soudan is online , El nilien , Ramat El hadak , Horiat , Fikra … 


السودان: وزارة الإعلام تدعو لنقابة صحافية جامعة | ميديا | عرب 48كلام جرايد سودانية - Home | Facebook

أهم مراكز البحوث والدراسات: مركز دراسات الشرق الأوسط وأفريقيا، مركز البحوث والدراسات الأفريقية ـ جامعة أفريقيا العالمية، مركز التنوير المعرفي، مركز دراسات المستقبل، مركز الخرطوم للدراسات والبحوث المستقبلية، مركز مأمون بحيرى للدراسات والبحوث الاقتصادية والاجتماعية في أفريقيا، مجموعة الراصد للبحوث والدراسات.
Vituo muhimu zaidi vya tafiti na uchunguzi 
Kituo cha masomo ya mashariki ya kati na Afrika , kituo cha utafiti na uchunguzi wa kiafrika , Chuo Kikuu cha Afrika cha kimataifa , Kituo cha El tanwir , Kituo cha masomo cha mustakbali, Kituo cha Khartoum kwa uchaguzi na utafiti cha mustakbali, Kituo cha maamon  Beheri cha uchunguzi na utafiti wa kiuchumi na kijamii barani Afrika, Kikundi cha El rasd cha utafiti na uchunguzi


السياسة الخارجية
يؤمن السودان بعدم التدخل في الشئون الداخلية للدول، وبالاستقلالية في السياسة الدولية، وحق الأمم والشعوب في انتهاج طريقها الخاص واحترام علاقات الجوار، ويؤمن بالعلاقات المتكافئة بين الدول والقائمة على المنفعة المتبادلة والمصالح المشتركة، ويؤمن بإقامة نظام دولي يحقق العدل والمساواة والتكافل الإنسانى والتنمية المستدامة ويوثق ويوطتد علاقات الجوار الإقليمى. 
Sera za nje 
Sudan inaamini kutoingilia mambo ya ndani ya nchi, na uhuru wa sera za nchi, na haki za mataifa na wananchi katika kuchagua njia zao binafsi na heshima ya mahusiano ya jirani, na inaamini mahusiano yenye usawa baina ya nchi yanayolingana na faida ya kubadilishana na maslahi ya  pamoja, na inaamini kuanisha mfumo wa kimataifa unaohakikisha haki na usawa wa binadamu na maendeleo endelevu na huhifadhi na 
kuimarisha  mahusiano ya jirani ya kikanda.

السودان يرحب برفع تعليق عضويته في الاتحاد الإفريقى

والسودان بحكم انتمائه الأفريقي والعربي والإسلامي، واحتلاله لموقع جغرافي استراتيجي في الإقليم وموقع وسط بين الوطن العربي وأفريقيا، يسعى ليلعب دوراً فاعلاً في الأسرة الدولية والمنظمات الإقليمية في إطار رعاية مصالحه ومبادئه وفى إطار التزامه بالمواثيق الدولية والاتفاقيات الإقليمية التي صادق عليها. 
Sudan, kwa sababu ya ushirika wake wa Kiafrika, Kiarabu na Kiislamu, inachukua eneo la kimkakati la kijiografia katika eneo hilo na msimamo wa katikati wa ulimwengu wa Kiarabu na Afrika, inatekeleza jukumu kubwa katika jamii ya kimataifa na mashirika ya kikanda katika mfumo wa kukuza masilahi yake na kanuni zake na ndani ya mfumo wa kujitolea kwake kwa mikataba ya kimataifa na makubaliano ya kikanda yaliyoridhiwa nayo.

وينص الدستور المؤقت للسودان 2005، على أن تُوظف سياسة السودان الخارجية لخدمة المصـالح الوطنية وتُدار باستقلال وشفافية لخدمة الأهداف التالية:
Katiba ya muda ya 2005 ya Sudan inasema kwamba sera ya nje ya Sudan itafanyika kwa  huduma ya masilahi ya kitaifa na huongozwa kwa uhuru na uwazi ili kuhudumia 

malengo yafuatayo:
(1) ترقية التعاون الدولي، خاصة في إطار أسرة الأمم المتحدة والمنظمات الدولية والإقليمية الأُخرى، وذلك من أجل تعزيز السلام العالمي واحترام القانون الدولي والإلتزامات التعاهدية وتطوير نظام اقتصادي عالمي عادل.
(A) Kukuza ushirikiano wa kimataifa, haswa ndani ya familia ya Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, ili kukuza amani ya ulimwengu, heshima kwa sheria za kimataifa na majukumu ya makubaliano na maendeleo ya utaratibu wa uchumi wa ulimwengu.
(ب) تحقيق التكامل الاقتصادي الأفريقي والعربي، كل في إطار الخطط والمنابر الإقليمية القائمة وتعزيز الوحدة الأفريقية والعربية والتعاون الأفريقي العربي كما هو مرسوم في تلك الخطط. 
(B) Kufanikisha ukamilifu wa uchumi wa Kiafrika na Kiarabu, ndani ya mfumo wa mipango na majukwaa ya kikanda yaliyopo, na kukuza umoja wa Kiafrika na Kiarabu na ushirikiano wa Afro-Arab kama ilivyo katika mipango hiyo
(ج) ترقية احترام حقوق الإنسان وحرياته الأساسية في المنابر الإقليمية والدولية.
(C) Kukuza heshima kwa haki za binadamu na uhuru wake wa kimsingi katika vikao vya kikanda na kimataifa
(د ) تشجيع حوار الحضارات وبناء نظام عالمي قائم على العدل ووحدة المصير الإنساني.
(D) kuhimiza mazungumzo ya ustaarabu na kujenga utaratibu wa ulimwengu kulingana na haki na umoja wa umilele wa mwanadamu

(هـ) ترقية التعاون الاقتصادي بين دول الجنوب.
(E) kuboresha ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi za kusini .
(و) عدم التدخل في شئون الدول الأُخرى، وتعزيز حسن الجوار والتعاون المشترك مع جميع دول الجوار، والحفاظ على علاقات متوازنة وودية مع الدول الأُخرى.
(F) kutoshirikiana na mambo ya ndani ya nchi nyingine , na kukuza ujirani mzuri na ushirikiano na nchi zote jirani, na kudumisha mahusiano yenye usawa na urafiki na nchi nyingine .
(ز) مكافحة الإرهاب والجريمة المنظمة الدولية.
(G) Kupambana na ugaidi na uhalifu uliopangwa wa kimataifa.




ترجمة:
أسماء بلال
باحثة ومترجمة  في الشأن الإفريقي 

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات