السبت، 11 أبريل 2020

Rwanda: Kabla ya maadhimisho ya kumbukumbu za miaka 26 ya mauaji ya kimbari, Ugunduzi wa makaburi ya watu kwenye eneo la bwawa la Bonde nje ya mji mkuu Kigali


رواندا من الإبادة الجماعية إلى الريادة المثالية


رواندا: قبل الاحتفال بالذكرى 26 للابادة الجماعية اكتشاف مقابر جماعية بمنطقة سد الوادي خارج كيجالي العاصمة

Rwanda: Kabla ya maadhimisho ya kumbukumbu za miaka 26 ya mauaji ya kimbari, Ugunduzi wa makaburi ya watu kwenye eneo la bwawa  la Bonde nje ya mji mkuu  Kigali

اعلنت السلطات الحكومية في كيجالي عاصمة رواندا عن اكتشاف 30000 جثة بعد أكثر من ربع قرن من الإبادة الجماعية في البلاد التي قتل فيها 800000 من التوتسي والهوتو الذين حاولوا حمايتهم.

Mamlaka ya serikali huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda, imetangaza kupatikana kwa wafu 30,000 baada ya zaidi ya robo karne ya mauaji ya kimbari nchini humo ambayo  yalisababisha vifo nya  Watutsi  na Wahutu 800000.

واعلنت السلطات ان هذا الاكتشاف  يعد الأكثر أهمية منذ سنوات، وتم استخراج 50 جثة حتى الآن في جهود واجهت تحديًا بسبب الإغلاق المرتبط بالفيروس التاجي في الدولة الواقعة في شرق إفريقيا.

Mamlaka illitangaza kwamba ugunduzi huu ni muhimu zaidi tangu miaka kadhaa, na wafu 50 wametolewa hadi sasa katika juhudi ambazo zilitatizwa na kufungwa  kati ya nchi ya Afrika Mashariki kutokana na virusi vya Corona. 


وتحتفل رواندا يوم الثلاثاء بالذكرى السادسة والعشرين للإبادة الجماعية، ولكن بسبب الإغلاق ستتبع البلاد الأحداث على التلفزيون ووسائل التواصل الاجتماعي حيث تم حظر التجمعات.

Siku ya Jumanne, Rwanda Itaadhimisha kumbukumbu ya miaka 26 ya mauaji ya kimbari, lakini kwa sababu ya kufungwa, nchi itafuata matukio kwenye Runinga na Mitandao ya kijamii kwani mikutano 
imepigwa marufuku.

وقد صرح "ال نفتال أهيشاكي"  السكرتير التنفيذي لمنظمة الناجين من الإبادة الجماعية لوكالة أسوشيتد برس: "التحدي الذي نواجهه الآن هو أن  منطقة سد الوادي التي عُثر فيها علي الضحايا تحتوي على الماء، لكننا نحاول تجفيفه". وقالت السلطات إنه تم حفر السد قبل سنوات من الإبادة الجماعية لتوفير المياه لزراعة الأرز.

Al Naftal Ahishaki, Katibu Mtendaji wa Shirika la waokoaji  wa mauaji ya Kimbari, aliwaambia Wanahabari: "Changamoto tunayokabiliana  nayo sasa ni kwamba eneo la bwawa la bonde  ambalo wahanga walipatikana ni eneo la maji, lakini tunajaribu kukausha." Mamlaka ilisema bwawa  hilo lilichimbwa miaka kadhaa kabla ya mauaji ya kimbari kwa ajili ya kuhifandhi maji ya kilimo  cha mchele.

ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 

مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي 

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات