الصحة السودانية": 224 حالة اشتباه بكورونا
Wizara ya Afya ya Sudan " kesi 224 za corona zashukiwa
قالت وزارة الصحة السودانية إن التقارير الوبائية، أشارت إلى أن حالات الاشتباه بالإصابة بوباء كورونا المستجد "كوفيد- 19" في مراكز العزل بالسودان، بلغت 224 حالة اشتباه، بينها 25 حالة اشتباه جديدة
Wizara ya Afya ya Sudan ilisema kwamba ripoti za janga la ugonjwa zilionesha kuwa kesi zinazoshukiwa kwa maabukizi ya Virusi vipya vya corona (covid 19) katika vituo vilivyotengwa nchini sudan zilifika kesi 224 zinazoshukiwa ikiwa ni pamoja na kesi mpya 25.
.
وأوضحت وزارة الصحة السودانية، في بيان الاربعاء 8-4-2020، أن جملة الإصابات بالوباء بلغت 14 حالة، بينها حالتا وفاة، لافتة إلى أنه لم تسجل أية حالات إصابة جديدة
Wizara ya Afya ya Sudan ilifafanua katika taarifa ya Jumatano 8-4-2020, kwamba jumla ya kesi za janga hilo zilifikia kesi 14, pamoja na vifo viwili, ikionesha kwamba hakuna kesi mpya zilizorekodiwa.
.
Kamati ya Ufundi ya kukabiliana na janga katika Wizara ya Afya ya Sudan ilifanya mkutano Jumatano kwa hudhuria idara zinazohusika ndani ya Wizara, Na mamlaka husika nchini.
..
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي