Ripoti za janga la ugonjwa kwenye Wizara ya Afya ya Shirikisho la Sudan zilithibitisha usajili wakesi mbili mpya kutokana na virusi vipya vya corona, na kuongezeka idadi ya kesi zilizothibitishwa hadi 19 siku ya Jumamosi 11/4 bila ya kusajili vifo vipya, isipokuwa kwa vifo viwili vilivyotangazwa hapo awali.
Ripoti ya janga la ugonjwa ziliashiria kwamba kesi namba 18 ni ya Msudani ambaye ana umri wa miaka Arobaini anaishi katika Jimbo la Khartoum, mji wa Om Durman, hana historia ya kusafiri nje ya nchi, na uchunguzi wa ugonjwa huo haukuthibitisha mchanganyiko wake pamoja na kesi iliyoambukizwa au iliyoshukiwa
وتشير التقارير الوبائية إلى أن اجمالي الحالات (المشتبهة) قد بلغ ٢٦٨ حالة (اشتباه) بجميع مراكز العزل بالبلاد.
Kuhusu kesi namba 19, ni kwa mwanamke wa Sudan ambaye anaishi katika Om Durman katika mji wa Ambada , aliyechanganyika pamoja na na mtu aliyetoka nje ya nchi. Wagonjwa hao wawili sasa wanapata huduma ya matibabu katika kituo kilichotengwa.Ripoti za janga la ugonjwa ziliashiria kuwa jumla ya kesi zimefikia 268 katika vituo vyote viliotengwa nchini.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي