31 مارس 2020
تعتزم جنوب أفريقيا التوسع في فحوصات فيروس كورونا، بنشر نحو 10 آلاف فرقة طبية لفحص المواطنين في منازلهم، لتصبح أول دولة في أفريقيا جنوب الصحراء تقوم بذلك.
Afrika Kusini imepanga kupanua katika vipimo vya virusi vya Corona, kwa kupeleka timu za matibabu 10,000 ili kukagua raia katika nyumba zao, na kuwa nchi ya kwanza katika Afrika - Kusini mwa Jangwa la Sahara kufanya hivyo.
ونقلت وكالة بلومبرج للأنباء الثلاثاء 31 مارس 2020 عن الرئيس سيريل رامافوزا، الإثنين 30 مارس 2020 "ندخل الآن مرحلة جديدة في المعركة ضد وباء فيروس كورونا"، وذلك بعد 4 أيام من إغلاق يستمر 21 يوماً، وقاد إلى توقف الأنشطة، وعمل المناجم، ونشر قوات من الجيش لفرض الإغلاق.
Shirika la habari la Bloomberg lilinukuu siku ya Jumanne, Machi 31, 2020, kuhusu maneno ya Rais Cyril Ramavoza, Jumatatu, Machi 30, 2020, "Sasa tunaingia katika hatua mpya katika vita dhidi ya Coronavirus," Hii ni baada ya siku 4 za kufungwa zitakazo chukua siku 21, na kusababisha kukomesha kwa shughuli, kazi za Migodi, na kueneza kwa vikosi vya jeshi ili kutekeleza ufungwaji.
وأوضح رامافوزا أن الفرق الميدانية ستحيل الذين يحملون أعراضاً إلى العيادات أو إلى عيادات متنقلة للخضوع لاختبار، أما الذين تظهر عليهم أعراض حادة فسينقلون إلى المستشفيات.
وكشف الرئيس أيضاً استخدام تقنيات مرتبطة بالهواتف المحمولة لتعقب المخالطين لمصابين.
Ramavoza alielezea kuwa timu za uwanja zitawapeleka wale ambao wana dalili katika zahanati au zahanati za kuhamahama kwa uchunguzi, na wale ambao wataonesha dalili kali watahamishiwa mahospitalini.
Rais pia aliweka wazi matumizi ya teknolojia zinazohusiana na simu ya kufuatilia mawasiliano kwa ajili ya wagonjwa.
Rais pia aliweka wazi matumizi ya teknolojia zinazohusiana na simu ya kufuatilia mawasiliano kwa ajili ya wagonjwa.
وتجدر الإشارة إلى أن جنوب أفريقيا سجلت أكبر عدد من المصابين بكورونا في أفريقيا، ووفقاً لأحدث البيانات المتوفرة، فإنها سجلت 1326 إصابة و3 وفيات، بعد اختبارات لأكثر من 38 ألف شخص من بين 59 مليون نسمة
Ikumbukwe kwamba Afrika Kusini ilirekodi idadi kubwa ya watu walio na ugonjwa wa Corona barani Afrika, na kulingana na taarifa zinazopatikana hivi karibuni, Afrika Kusini ilirekodi wagojwa 1326 na vifo 3, baada ya vipimo kwa watu zaidi ya 38 elfu kati ya watu milioni 59.
ترجمة:
إيناس إبراهيم أحمد
مترجمة وباحثة في الشأن الإفريقي