الرئيس السيسي: مصر تتضامن مع حكومات وشعوب العالم فى محاربة فيروس كورونا
Rais Al-Sisi: Misri inashikamana na serikali na watu wa ulimwengu katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona
أكد الرئيس عبد الفتاح السيسى، فى تدوينة له نشرت على صفحات التواصل الاجتماعى: "تتضامن مصر حكومة وشعبا مع حكومات وشعوب العالم أجمع فى محاربة فيروس كورونا، ونحن على استعداد كامل لتقديم كل ما يمكن من دعم خلال هذه الظروف الصعبة".
Rais Abdel Fattah El-Sisi amesisitiza, katika barua yake iliyochapishwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii: "Misri, serikali na watu inashikamana na serikali na watu wa ulimwengu wote katika kupambana dhidi ya virusi vya Corona, na sisi tumejiandaa kikamilifu kutoa msaada wote unaowezekana wakati wa hali hii ngumu."
أضاف الرئيس السيسى: "ففى أوقات المحن تسمو القيم الإنسانية فوق كل شيء، وبإذن الله سيمضى هذا الوقت الحرج وسننتصر جميعاً وسيذكر التاريخ عظمة مصر وتلاحمها مع العالم أجمع، وإن هذه المحنة جاءت لتذكرنا بأهمية روح التعاون والاتحاد وتدعونا للتكاتف وأن نتحلى بالمسئولية والتفاؤل والصبر.
.وأنهى الرئيس السيسى كلامه قائلاً: "حفظ الله مصر وشعبها وشعوب العالم أجمع
Rais El-Sisi akaongeza: "Wakati wa shida, maadili ya mwanadamu yanakuwa juu kuliko kila kitu, na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, wakati huu mgumu utapita, na sote tutashinda. Historia itakumbuka ukuu wa Misri na mshikamano wake pamoja na ulimwengu wote, na shida hii ilikuja ili kutukumbusha umuhimu wa kuwepo roho ya ushirikiano na umoja na inatuita tuwe pamoja, kuwajibika, matumaini na uvumilivu, Rais El-Sisi alihitimisha hotuba yake kwa kusema: "Mungu Ailinde Misri, watu wake, na watu wa ulimwengu wote."
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي