بوروندي: تسجيل ثالث حالة اصابة بفيروس كورونا
Burundi: Maambukizi ya tatu ya virusi vya corona yasajiliwa
أعلنت وزيرة الصحة البوروندية الدكتورة ثادي نديكومانا, ظهور حالة اصابة بفيروس كورونا لفتاة بوروندية تبلغ من العمر 26 عامًا، مما رفع عدد الحالات المعلن عنها رسميًا في بوروندي إلى ثلاث حالات.
Waziri wa Afya wa Burundi, Dk Thadi Ndikumana, ametangaza kuonekana kwa kesi mpya ya virusi vya Corona kwa msichana wa miaka 26 wa Burundi, kuongeza idadi ya wagonjwa walio tangazwa rasmi nchini Burundi kufiki wagonjwa watatu.
ونقل موقع "أنفو بلوس جابون"الجابوني عن الوزيرة قولها إن الفتاة من عائلة احدى الحالتين اللتين سبق فحصهما من قبل المعهد الوطني للصحة العامة واتضح اصابتهما بالفيروس
Tovuti ya "Info Plus Gabon" ya Gaboun ilinukuu kutoka kwa Waziri huyo akisema kwamba msichana huyo ni kutoka katika familia moja ya wagonjwa wawili ambao hapo awali ilichunguzwa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya Umma na ikawa wazi kuwa waliambukizwa na virusi hivyo.
.
كما تم نقل المرضى الثلاثة إلى المستشفى في مركز علاج عيادة الأمير لويس رواجاسور في بوجومبورا ، ووفقًا للمصدر نفسه إن المرضي "في حالة لا تثير القلق".
Wagonjwa hao watatu pia walihamishiwa hospitalini katika kituo cha matibabu cha kliniki cha Princi Louis Rwajasur huko Bujumbura, kulingana na chanzo hicho hicho. Wagonjwa hao "wako katika hali nzuri".
وأشار الموقع إلى أن الحالتين الأخريين ا لبورونديين أحدهما 56 عاما والآخر 42عاما، جاءوا من رواندا والإمارات العربية المتحدة، على التوالي
Tovuti iliashirea kuwa kesi hizo nyingine mbili ya Burundi, mmoja alikuwa na umri wa miaka 56 na mwingine ana umri wa miaka 42, alitoka Rwanda kutoka Muungano wa Falme za Kiarabu, kwa mtiririko..
وقالت الوزيرة "لقد تم اتخاذ كافة الإجراءات لفصل مركز علاج كوفيد 19 عن باقي أقسام المستشفى"، داعية المواطنين إلى مواصلة ممارسة "أنشطتهم اليومية" بهدوء، مع احترام الإجراءات الفردية والجماعية للوقاية من فيروس
COVID-19.
Waziri alisema pia "Hatua zote zimechukuliwa ili kutenganisha kituo cha matibabu cha Covid 19 kutoka kwa sehemu zote ya hospitali," akitaka wananchi waendelee kutekeleza "shughuli zao za kila siku" kwa utulivu, huku wakiheshimu hatua za kibinafsi na za pamoja ili wajikinga na virusi vya COVID-19.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي