الخميس، 2 أبريل 2020

تنزانيا تسجل أول وفاة بكورونا


تنزانيا تسجل أول وفاة بكورونا
Tanzania inarekodi kifo cha kwanza kutokana na maabukizi ya 

Virusi vya  Corona

تنزانيا تسجل أول حالة وفاة بفيروس كورونا | بوابة أخبار اليوم ...
سجلت تنزانيا صباح الثلاثاء 31-3-2020، أول حالة وفاة مصابة بفيروس كورونا المستجد المسبب لمرض "كوفيد 19"، وفقا لما نشرته وكالة "سبوتنيك".
وقالت وزيرة الصحة التنزانية، آمي مواليمو، وفقا لما نقلته وكالة "رويترز"، إنّ البلاد سجلت أول حالة وفاة بفيروس كورونا صباح اليوم.
وأشارت إلى أنّ الوفاة كانت لرجل بالغ من العمر 49 عاما، يعاني من أمراض عديدة.
وقالت إنّ حالة الوفاة تم إدخالها مستشفى ملوجانزيلا في العاصمة دار السلام لتلقي العلاج، ولكنه فارق الحياة صباح اليوم.
وسجلت تنزانيا حتى أمس الاثنين، 19 حالة إصابة مؤكدة بفيروس كورونا المستجد
Jumanne 3-31-2020, Tanzania ilirekodi kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vya Corona ambavyo husababisha "Covid 19", kulingana na Shirika la  "Sputnik".
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu leo alisema, kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, kwamba nchi ilirekodi kifo cha kwanza cha  maabukizi ya Virusi vya  Coruna asubuhi ya leo.
Akiashiria  kuwa kifo hicho ni cha mtu wa miaka 49, ambaye pia alikuwa akisumbuliwa  na  maradhi mengine kadhaa.
Waziri Ummy amesema  mgonjwa huyo aliingizwa  katika Hospitali  ya Moganzila. jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, lakini alifariki asubuhi ya leo .
Kufikia Jumatatu, Tanzania ilikuwa na wagonjwa 19 waliothibitishwa kuwa na maabukizi ya Virusi vya  Coruna    (covid 19)

ترجمة الباحث :

احمد مصطفى متولي

مترجم وباحث متخصص في الشأن الافريقى

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات