الأربعاء، 13 مايو 2020

Mshauri wa Afya kwa Rais wa Jamhuri: Ongezeko la sasa la maambukizi ya corona linatarajiwa na sio kuwa na wasiwasi


عوض تاج الدين : ارتفاع أعداد المصابين بفيروس كورورنا غير مقلقة ...

Mshauri wa Afya kwa  Rais wa Jamhuri: Ongezeko la  sasa la maambukizi ya corona linatarajiwa na sio kuwa na wasiwasi

مستشار رئيس الجمهورية للصحة: الزيادة الحالية في إصابات كورونا متوقعة وغير مقلقة
قال الدكتور محمد عوض تاج الدين، مستشار رئيس الجمهورية لشؤون الصحة، إن الزيادة الحالية في عدد الإصابات بـ"كورونا" في مصر ليست حادة أو مخيفة وإنما متوقعة وغير مقلقة
Dk Mohamed Awad Tag El-Din, Mshauri wa Rais wa Jamhuri kwa Masuala ya Afya, alisema kuwa ongezeko la sasa la idadi ya maambukizi  ya corona nchini Misri sio kali au ya kutisha, lakini inatarajiwa na sio kuwa na wasiwasi

أضاف عوض، خلال مداخلة في برنامج "يحدث في مصر" الذي يقدمه الإعلامي شريف عامر على قناة "إم بي سي مصر": "لا يعني التعايش مع فيروس كورونا تجاهل المرض كما لو أنه تم التخلص من الفيروس بشكل كامل.. نحن نعيش حالة انتقالية والحكومة تؤكد على ضرورة التزام الإجراءات الاحترازية
Awad ameongeza, wakati wa uingiliaji katika kipindi cha   " Inatokea nchini Misri " kilichotangazwa  na mtangazajii wa habari Sharif Amer kwenye runinga ya MBC Misri  , "Haimaanishi kuishi pamoja na virusi vya Corona kupuuza ugonjwa huo kama kwamba virusi vimeondolewa kabisa, tunaishi katika hali ya mpito na Serikali inasisitiza juu ya umuhimu wa  kufuata hatua za tahadhari   
وأوضح مستشار رئيس الجمهورية لشؤون الصحة أن وزارة الصحة تتابع يوماً بعد الآخر الوضع في مصر، مؤكدا أن الزيادة الحالية في عدد الإصابات ليست حادة وإنما وفق الزيادة الأفقية بدون تهويل أو تهوين .
Mshauri wa  Rais wa Jamhuri kwa Masuala ya Afya alionesha kuwa Wizara ya Afya inafuatatia hali hiyo nchini Misri siku baada ya siku, akisisitiza kwamba ongezeko la sasa la idadi ya maambukizi  siyo kali, lakini kwa mujibu wa  ongezeko la  usawa bila vitisho au makadirio
ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات