ارتفع عدد الوفيات جراء وباء كورونا المستجد "كوفيد 19" في جنوب أفريقيا إلى 25 حالة، مع تزايد تسجيل حالات الإصابة، وفقا لما نشرته وكالة الأنباء السعودية "واس"، الاحد
Idadi ya vifo kutokana na janga la Virusi vipya vya Corona "Covid 19" nchini Afrika Kusini vimeongezeka hadi 25, na kuongezeka kwa rekodi ya kesi zilizoambukizwa, kwa mujibu wa shirika la Saudi, "SPA", Jumapili..
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini Zwylie McKee alisema Jumamosi, katika taarifa yake mpya ya hivi karibuni kuhusu janga hilo, kwamba kifo kipya kilihusiana na mtu wa miaka 61 ambaye pia alikuwa akiugua ugonjwa wa sukari na shinikizo la damu.
McKee ameongeza, kwamba jumla ya walioambukizwa wamefikia kesi elfu mbili na 28, kwa ongezeko la kesi 25 kwa siku iliyopita kutoka jumla ya idadi elfu 75 na 53 waliyopata vipimo kote nchini hadi sasa.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي