دعا الرئيس الجزائري عبد المجيد تبون، اليوم الاثنبن، مجلس الأمن الدولي لعقد اجتماع عاجل من أجل الخروج بقرار لوقف الأعمال العدائية في العالم فورا، "لاسيما في اليمن وليبيا، إلى جانب الأراضي التي تعيش الاحتلال مثل فلسطين والصحراء الغربية" حسبما أفاد بيان للرئاسة الجزائرية.
وبحسب البيان، قال الرئيس تبون في كلمته التي ألقاها في قمة دول عدم الانحياز التي انعقدت عبر تقنية الفيديو كونفرانس "إن القمة تنعقد في سياق دولي تشوبه القرارات الأحادية لمجابهة الوباء، وهذا الأمر مبعث قلق عميق و تحد للدول والحكومات وحافز في الوقت ذاته للعمل متعدد الأطراف".
وأضاف الرئيس تبون: "التحديات التي تفرضها الجائحة تنبئ بتغيير جذري في العلاقات الدولية، وتضع حركة دول عدم الانحياز أمام مسؤولياتها لنشر السلم والأمن الدوليين".
Algeria inatoa wito kwa Baraza la Usalama kufanya mkutano wa haraka ili matendo ya kiuadui ulimwenguni.
Leo, Jumatatu, Rais wa Algeria Abdel Majid Taboun ametoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa ili kufanya mkutano wa haraka kwa ajili ya kutoa uamuzi wa kumaliza matendo ya kiadui haraka ulimwenguni, hasa nchiniYemen na Libya, pamoja na ardhi zinazotawaliwa kama Palestina na Jangwa la Magharibi," kulingana na taarifa ya Ofisi ya Rais nchini Algeria.
Kwa mujibu wa ripoti, Rais Taboun alielezea katika hutoba yake iliyotolewa katika Mkutano wa nchi zisizoegemea upanda wowote ambao ilifanyika kupitia video, "Mkutano huo wa kilele unafanyika katika muktadha wa kimataifa unaosababishwa na maamuzi ya pande moja kukabiliana na janga hilo, na suala hili ni la wasiwasi mkubwa na linazigatiwa ni changamoto kwa nchi na serikali na wakati huo huo ni kichocheo kwa kazi zenye pande kadhaa "
Rais Taboon ameongeza kuwa "Changamoto zinazoletwa na janga hilo zinaonesha mabadiliko yamsingi katika mahusiano ya kimataifa, na inaweka Jumuiya ya Nchi zisizoegemea upande wowote mbele ya majukumu yake ili kueneza amani na usalama wa kimataifa."
ترجمة:
أسماء بلال
باحثة ومترجمة في الشأن الإفريقي