Kesi mpya ya virusi vya Corona nchini Libya yatangazwa
Kituo cha kitaifa cha kupambana na Magonjwa kilitangaza kesi mpya ya virusi vipya vya corona jana, Jumatano 7-5-2020, na kufanya jumla ya idadi kufika kesi 64.
.
وقال المركز في بيان، إن المختبر المرجعي لصحة المجتمع بالمركز تسلم اليوم 254 عينة من عينات تحاليل فيروس «كورونا»، ثبت سلبية 253 منها، وإصالة حالة واحدة.وأوضح المركز أن إجمالي الحالات النشطة حاليًا 38 حالة، وإجمالي المتعافين 23 حالة حتى الآن، بينما توفي 3 أشخاص.
Kituo hicho kilisema katika taarifa, kwamba maabara Kuu ya Afya ya jamii katika kituo hicho imepokea leo sampuli 254 miongoni mwa sampuli za vipimo vya "Corona", ambapo kesi 253 hazikuwa na maambukizi , na kesi moja imethibiti , Kituo hicho kilibaini kuwa jumla ya kesi zilizoambukizwa ni kesi 38, na jumla ya wale waliopona ni kesi 23 hadi sasa, wakati watu 3 walikufa.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي