Serikali ya Mauritania imeidhinisha muswada wa kupambana na unyanyasaji dhidi ya wanawake
صادق مجلس الوزراء الموريتاني على مشروع قانون يتعلق محاربة العنف ضد النساء والفتيات.
Baraza la Mawaziri la Mauritania limepitisha muswada wa kupambana na unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
وقالت الوكالة الموريتانية للأنباء الرسمية، إن القانون المذكور يعد تشريعاً متكاملاً يشكل أساساً لرد شامل وفعال ضد العنف الذي تتعرض له النساء والفتيات.
Shirika Kuu la Habari la Mauritania lilisema kwamba sheria iliyotajwa hapo awali inazingatiwa ni sheria kamili ambayo huwakilisha msingi wa majibu kamili na yenye ufanisi dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na wasichana.
Chanzo hicho hicho kimeongeza kuwa sheria hiyo itachangia kuondoa mawazo ya awali na akili zinazowabagua wanawake na wasichana.
Chanzo hicho hicho kimeongeza kuwa sheria hiyo mpya itachangia kuondoa mawazo ya awali na akili za kibaguzi dhidi ya wanawake na wasichana na kwamba shughuli za utafiti na maendeleo zinapaswa kutekelezwa ili kusaidia kuendeleza kanuni za kazi katika uwanja huu.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي