أعلن صندوق النقد الدولي أنه وافق على تمويل طارئ قيمته 109.4 مليون دولار أمريكي لرواندا مخصص لمساعدة هذا البلد على مواجهة جائحة فيروس كورونا المستجد.
وأوضح الصندوق في بيان أن التمويل منح في إطار “التسهيل الائتماني السريع” الذي يقدم مساعدات مالية تساهلية سريعة بمشروطية محدودة للبلدان ذات الدخل المنخفض.
وأفادت المؤسسة الدولية بأن هذه الأموال ستستخدم لتلبية الاحتياجات العاجلة لميزان المدفوعات لرواندا الناجمة عن وباء كوفيد – 19.
وبحسب صندوق النقد الدولي فإن هذا التمويل سيدعم جهود السلطات الرواندية في التخفيف من الأثر الاقتصادي للوباء عن طريق الحد من انخفاض الاحتياطيات الدولية وعبر توفير دعم مالي للميزانية لزيادة الإنفاق
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa watoa fedha za dharura kwa Rwanda ili kupambana na Corona.
Mfuko wa Fedha wa Kimataifa umetangaza kwamba imeidhinisha dola milioni 109.4 katika ufadhili wa dharura kwa Rwanda ili kusaidia nchi hiyo kukabiliana na janga lililoibuka la virusi vya Corona.
Mfuko huo ulielezea katika taarifa kwamba ufadhili huo umetolewa katika mfumo wa " kurahisisha mikopo ya haraka", ambayo hutoa msaada wa kifedha wa haraka kwa nchi zenye kipato cha chini.
Taasisi ya Kimataifa ilielezea kwamba fedha hizi zitatumika ili kukidhi mahitaji ya haraka ya malipo ya uhaba wa Rwanda unaosababishwa na janga la Covid-19.
Kulingana na Mfuko wa Fedha wa kimataifa ufadhili huu utaunga mkono juhudi za serikali ya Rwanda ili kupunguza athari za kiuchumi zinazosababishwa na virusi hivi kwa kupunguza akiba ya kimataifa kupitia kutoa msaada wa kifedha wa bajeti ili kuongeza matumizi.
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى