الاثنين، 6 أبريل 2020

رئيس منظمة الصحة العالمية يوجه الشكر للرئيس السيسي عبر تويتر


 مدير منظمة الصحة العالمية يوجه الشكر للرئيس السيسى لجهوده للتصدى ...

وجه الدكتور تيدروس أدهانوم جيبرييسوس رئيس منظمة الصحة العالمية الشكر للرئيس عبد الفتاح السيسي في تغريدة له عبر حسابه الرسمي على موقع التواصل الاجتماعي "تويتر".
وشكر "تيدروس" في تغريدته الرئيس السيسي بعد قراره بتحمل صندوق تحيا مصر نفقات الحجر الصحي للعائدين من الخارج، وقال رئيس منظمة الصحة العالمية" نشكر الرئيس المصري على جهوده المبذولة لوقف انتشار فيروس كورونا وضمان حصول المتضررين على دعم واسع النطاق.
                                 
Mkuu wa WHO amshukuru Rais  Al-Sisi kwenye Twitter

Dk Tedros Adhanum Gebriusos, Rais wa Shirika la Afya la kimataifa, alimshukuru Rais Abdel Fattah El-Sisi katika twitter yake kupitia akaunti yake rasmi kwenye tovuti ya kijamii "Twitter".

Katika twitter yake, Rais Tedros alimshukuru Rais Al- Sisi baada ya uamuzi wake wa  mfuko  wa Misri idumu kubeba gharama za karantini " kwa watu wanaorudi kutoka  nje . "Tunamshukuru Rais wa Misri kwa juhudi zake za kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona na kuhakikisha kwamba wale walioathiriwa wanapata msaada mkubwa" Rais wa Shirika la Afya la Kimataifa alisema

ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات