قال معهد إنكاجو في موزمبيق إنه يبحث عن أسواق بديلة بما في ذلك السوق المحلية، للتغلب على مشكلة استيراد الكاجو بعدما قامت الحكومة الهندية بزيادة ضريبة الاستيراد على واردات الكاجو من 45٪ إلى 70٪.
ونقل موقع "ماكاو هب" الماكاوي عن لوسيا انطونيو رئيس القسم الصناعي بالمعهد، قولها ان صناعة الكاجو في الموزمبيق تواجه صعوبات بسبب هذا القرار، وتعد الهند هي السوق الرئيسية للكاجو وواحدة من الوجهات الرئيسية له حيث تستورد من موزمبيق نحو مليون طن سنويًا.
واضافت "للتقليل من تأثير ذلك على صادرات موزمبيق واقتصادها يسعى المعهد للبحث عن أسواق أخرى وتعزيز استخدام الكاجو في صناعة المواد الغذائية لإنتاج الدقيق والحليب والزبدة، من بين المنتجات الأخرى، وكذلك في مستحضرات التجميل".
وأوضحت أنطونيو أن جوز الكاجو مصدر مهم للعملة الأجنبية لموزمبيق ويتم تصديره كمواد خام وكمنتج نهائي، فعلى سبيل المثال خلال الفترة بين عامي 2017 و 2019 تم تصدير أكثر من 80 الف طن من جوز الكاجو الخام وحصلت الدولة على 116 مليون دولار أمريكي، وفي الفترة نفسها تم تصدير 24 الف طن من الكاجو المعالج وحصلت البلاد على عائدات بلغت 155 مليون دولار أمريكي.
Msumbiji inatafuta masoko mapya kusafirisha nje korosho.
Chuo cha Inkaju huko Msumbiji kilisema kwamba kilikuwa kinatafuta masoko mbadala, pamoja na soko la ndani, ili kuondokana na shida ya kuingiza korosho baada ya serikali ya India kuongeza kodi ya uingizaji wa nje wa korosho kutoka 45% hadi 70%.
Tovuti ya Makau Hub ilieneza habari za Lucian Antonio, Mkuu wa kitengo cha uzalishaji wa Chuo hicho, akasema kwamba "uzalishaji " wa korosho nchini Msumbiji unakabiliwa na ugumu kwa sababu ya uamuzi huu, na India ndio soko kuu la korosho na moja ya nchi kuu za waagizaji wakubwa kwake ambapo huagiza tani milioni moja kwa mwaka kutoka Msumbiji.
Aliongeza "
Ili kupunguza athari za hizi juu ya usafirishaji wan je wa Msumbiji na uchumi wake, Chuo hicho kinafanya kazi kutafuta masoko mengine na kukuza utumiaji wa korosho kwenye uzalishaji wa chakula ili kutoa unga, maziwa na siagi, miongoni mwa bidhaa zingine, pamoja na vipodozi".
Antonio alifafanua kuwa korosho ni chanzo muhimu cha fedha ya kigeni kwa Msumbiji na husafirishwa nje kama malighafi na kama bidhaa ya mwisho.Kwa mfano, katika kipindi kati ya mwaka wa 2017 na 2019, zaidi ya tani 80,000 za malighafi za korosho zilisafirishwa nje na nchi ilipata dola milioni 116, na katika kipindi hicho hicho ilisafirisha tani 24,000 za korosho nje baada ya kubanguliwa na nchi ilipata mapato ya dola milioni 155.
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى