وافقت مفوضية الاتحاد الأفريقي على إنشاء صندوق قاري لمكافحة وباء كورونا بتمويل أولي قوامه 12.5 مليون دولار لتوفير استجابة منسقة قارية للفيروس.
جاء ذلك في بيان صادر عن رئيس الدورة الحالية للاتحاد الأفريقي رئيس جنوب أفريقيا سيريل رامافوسا، وذلك عقب إجرائه مؤتمرا عبر الهاتف مع مكتب رؤساء دول وحكومات الاتحاد الأفريقي بالمفوضية الأفريقية حول مواجهة فيروس كورونا الذي يجتاح القارة الأفريقية.
ووفقا للبيان فقد تم التوصل لقرار بشأن إنشاء صندوق قاري لمكافحة وباء كورونا بتمويل أولي قدره 12.5 مليون دولار، لتوفير استجابة منسقة قارية للحد من فيروس كورونا في أفريقيا.
كما وافقت الدول الأعضاء على المساهمة بمبلغ 4.5 مليون دولار من أجل تعزيز قدرة المركز الأفريقي للوقاية من الأمراض والسيطرة عليها.
ودعا الدول الأعضاء في الاتحاد الأفريقي والمجتمع الدولي والهيئات الخيرية للمساهمة في الصندوق.
Uzinduzi wa mfuko ili kupambana na Corona barani Afrika .
Tume ya Umoja wa Afrika ilikubali kuanzisha mfuko wa bara ili kupambana na virusi vya corona kwa dola milioni 12.5 kwa hatua ya mwanzo ili kutosheleza mtakwa ya uratibu barani Afrika kutokana na virusi hivi .
Hii ilikuja katika taarifa iliyotolewa na Rais wa sasa wa Umoja wa Afrika, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramafosa, baada ya mkutano kwenye simu na ofisi za marais na serikali za Umoja wa Afrika wa Tume ya Afrika juu ya jinsi ya kupambana na Virusi vya Corona, ambavyo vimeshambulia bara la Afrika.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wemeafikiana kuanzisha mfuko wa Bara ili kupambana na Virusi vya Corona kwa fedha za hatua ya kwanza dola milioni 12.5 , ili kutosheleza kinga ya bara na kupunguza virusi vya corona barani Afrika.
Nchi wanachama pia walikubali kuchangia dola milioni 4.5 ili kuimarisha uwezo wa Kituo cha Afrika cha kuzuia na kudhibiti magonjwa .
Na alitoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, jamii ya Kimataifa na taasisi zinazotoa msaada kuchangia kwenye Mfuko huu .
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى