الصومال: الصحة تسجل 6 وفاة و49 إصابة جديدة بفيروس كورونا
Somali: Afya yarekodi vifo 6 na maambukizi mapya 49 na virusi vya corona
سجلت وزارة الصحة ورعاية المجتمع في الحكومة الفيدرالية الصومالية، الثلاثاء21إبريل 49 حالة إصابة جديدة بفيروس كورونا المستجد "كوفيد 19"، ليصل إجمالي عدد المصابين في البلاد إلى 286 حالة إصابة منذ تفشي المرض
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Serikali ya Shirikisho la Somalia ilirekodi, Jumanne, 21 Aprili, kesi 49 mpya za virusi vipya vya corona "Covid 19", na kufika jumla ya watu walioambukizwa nchini kesi 286 tangu ueneaji wa ugonjwa huo.
.
وأضافت الوزارة في تقريرها اليومي حول "كوفيد 19" أنه تم تسجيل وفاة 6 أشخاص جراء فيروس كورونا لترتفع بذلك الحصيلة الإجمالية للوفيات الناجمة عن الوباء إلى 13 وفاة، وهي أعلى حصيلة وفيات تسجلها الوزارة
Wizara hiyo iliongeza katika ripoti yake ya kila siku kuhusu "Covid 19" kwamba vifo 6 vilisajiliwa kutokana na virusi vya Corona, na idadi ya vifo kutoka janga hilo imeongezeka hadi 13, ambayo ni idadi kubwa zaidi ya vifo iliyorekodiwa na wizara hiyo. .
وأوضح التقرير اليومي لوزارة الصحة أن الحالات الجديدة المسجلة تعود لـ30 من الذكور، و19 من الإناث. وأشارت وزارة الصحة ورعاية المجتمع إلى أن حالتين تماثلت للشفاء من المرض، وشددت الوزارة على ضرورة الالتزام بالتوجيهات والإرشادات الصحية.
صونا
Ripoti ya kila siku ya Wizara ya Afya ilifafanua kuwa kesi mpya zilizorekodiwa ni za wanaume 30 na wanawake 19. Pia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilisema kuwa kesi mbili zimepona kutokana na ugonjwa huo, na Wizara ilisisitiza juu ya umuhimu wa kuzingatia maongozo na maagizo ya kiafya.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي