السبت، 11 أبريل 2020

Al-Azhar inapongeza hatua za Kuinua sauti ya Adhana kuwapa matumaini Waislamu katika nchi za Magharibi: Kukuza usamehevu


الأزهر يشيد بمبادرات رفع الأذان لطمأنة المسلمين في الغرب

الأزهر يشيد بمبادرات رفع الأذان لطمأنة المسلمين في الغربتعزز التسامح
Al-Azhar inapongeza hatua  za  Kuinua sauti ya Adhana  kuwapa matumaini  Waislamu katika nchi za Magharibi: Kukuza usamehevu

أشاد الأزهر الشريف بالمبادرات التي أطلقتها العديد من السلطات المحلية في كثير من الدول الغربية، من خلال رفع صوت الأذان في بعض المساجد، لطمأنة المسلمين، في ظل حالة القلق والهلع المنتشرة حول العالم، بسبب تداعيات فيروس كورونا المستجد.
Al-Azhar imepongeza juhudi zilizotolewa  na Mamlaka nyingi  za serikali za  mitaa katika nchi nyingi za magharibi, kwa kuinua sauti Adhana  katika Misikiti kadhaa, kuwapa matumaini Waislamu, katika hali  hii ya  wasiwasi na hofu iliyoenea ulimwenguni kote, kutokana na athari ya virusi  vya Corona vinavyoibuka.
.وأكد الأزهر أنّ مثل هذه المبادرات النبيلة تخلق روحا من التعاون والألفة، وتعزز قيم التسامح والتعايش بين أتباع الأديان والثقافات المختلفة، كما تدل على تعانق اتباع الأديان وتوحد أهدافهم السامية من أجل الحفاظ على النفس البشرية وحمايتها ضد المخاطر
Al-Azhar ilisisitiza kwamba hatua hizo nzuri huunda roho ya ushirikiano na kufahamiana, na kukuza maadili ya usamehevu  na usawa kati ya wafuasi wa dini na tamaduni tofauti, na vile vile kukumbatia wafuasi wa dini na kuunganisha malengo yao ya hali ya juu ili kumhifadhi mwanadamu na kumlinda dhidi ya hatari..
كانت السلطات الألمانية والفرنسية والهولندية والإسبانية والايطالية، سمحت لبعض المساجد برفع الأذان، رغم قرار حظر رفع الأذان عبر مكبرات الصوت في هذه الدول، وسمحت السلطات البريطانية برفع الآذان عبر مكبرات الصوت بمساجد العاصمة البريطانية لندن، كما سمحت جامعة "دوك"، بولاية نورث كارولينا الامريكية، للطلاب المسلمين برفع صوت الأذان من أعلى برج جرس كنيسة مقامة داخل الحرم الجامعي.

Mamlaka ya Ujerumani, Ufaransa, Uholanzi, Uhispania, na Italia ziliruhusu  kwa  baadhi ya Misikiti kuinua sauti ya Adhana, licha ya uamuzi wa kukataza kuinua sauti  ya Adhana kupitia kipaza sauti katika nchi hizo.  pia Mamlaka ya Uingereza iliruhusu kuinua sauti  ya Adhana kupitia kipaza suati katika misikiti ya mji mkuu wa Uingereza, London, pia Chuo Kikuu cha Duke, North Carolina, Marekani, viliruhusu  wanafunzi wa Kiislamu, kuinua sauti  ya Adhana juu  ya mnara wa kengele ya kanisa ndani ya Chuo Kikuu

ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 

مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي 

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات