السبت، 11 أبريل 2020

Ahmed Ahmed: Ninawapongeza wafanyikazi wa afya barani Afrika na ulimwengu kwa juhudi zao za kupambana na Corona



فرنسا: الإفراج عن رئيس الاتحاد الأفريقي لكرة القدم بدون توجيه ...

أحمد أحمد: أحيي العاملين بالصحة في أفريقيا والعالم على جهودهم لمكافحة كورونا
Ahmed Ahmed: Ninawapongeza wafanyikazi wa afya barani Afrika na ulimwengu kwa juhudi zao za kupambana na Corona

تقدم أحمد أحمد رئيس الاتحاد الإفريقي (الكاف) بالتحية لجميع العاملين في مجال الصحة، وذلك بمناسبة اليوم العالمي للصحة والموافق الثلاثاء 7 أبريل، ونقل الموقع الرسمي للكاف رسالة أحمد أحمد للعاملين بمجال الصحة والتي قال خلالها: "أحمل لكم كل التحيات من الاتحاد الأفريقي لكرة القدم ، خلال هذه الأوقات العصيبة التي يمر بها العالم".
Ahmed Ahmed, Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), ametoa pongezi kwa wafanyikazi wote wa afya, kwenye hafla ya kuadhimisha  Siku ya Afya Duniani, iliyofanyika siku ya Jumanne, Aprili 7, tovuti rasmi ya CAF ilitoa ujumbe wa Ahmed Ahmed  kwa wafanyikazi  wa afya, ambapo alisema:  : "Ninakufikishieni salamu kutoka Shirikisho la Soka la Afrika, katika kipindi hichi  kigumu  ambacho ulimwengu unapitia. "
وأضاف: "دعونا لا نتخلى عن حذرنا في مكافحة فيروس كورونا المميت الذي هز كل مؤسسة في العالم".
Aliongeza: "Tusiache kujitolea katika kupambana dhidi ya virusi vipya  vya Corona vinavyoua, ambavyo vimetikisa kila taasisi ulimwenguni."
وواصل: "في هذه المعركة كما هو الحال في كل مباراة كان الفريق الأفضل هو العاملين في مجال الصحة، فالتضحيات التي تستمرون في تقديمها والدعم المقدم للمرضى إلى درجة المخاطرة بحياتكم كانت أمور أسطورية".
Aliendelea: "Katika vita hii, kama ilivyo katika kila mechi, timu bora ni wafanyikazi wa kiafya. Kujitolea kunakoendelea  na msaada unaotolewa kwa wagonjwa hadi kiwango cha kuhatarisha maisha yenu ni mambo ya kishujaa."
وأكمل: "بمناسبة يوم الصحة العالمي قال الملجاشي: "أحيي جميع العاملين بمجال الصحة في أفريقيا وبقية العالم على الجهود الشجاعة والمثابرة خلال هذه الفترة الصعبة من حياتنا".
Aliendelea kusema: "kwa sababu ya  hafla ya kuadhimisha  Siku ya Afya Duniani Al-Malajashi alisema:" Ninawapongeza wafanyikazi wote wa afya barani Afrika na wa ulimwengu kwa juhudi za ujasiri na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maisha yetu.

 "وقال: "أنتم الأبطال الحقيقيون لهذه المباراة المهمة في حياتنا، وانتم لستم وحدكم. أفكارنا وصلواتنا معكم من أجل صحتكم وسلامتكم".
Alisema: "nyinyi ni mabingwa wa kweli wa mechi hii yenye umuhimu zaidi katika maisha yetu, na nyinyi sio peke yanu. Mawazo na swala zetu ziko pamoja na nyinyi kwa ajili ya afya na usalama wenu.



ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 

مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي 

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات