سجلت جمهورية تشاد خمس حالات جديدة مصابة بفيروس كورونا، ليرتفع عدد الإصابات إلى 23 حالة شفيت منهم حالتان.
Jamhuri ya Chad imesajili kesi tano mpya za virusi vya corona, na kufikia idadi ya maambukizi 23, ambazo kesi mbili zimepona.
جاء ذلك في بيان صادر عن رئاسة جمهورية تشاد، مضيفًا أن قرارَا حكوميًا قد صدر يقضي بارتداء الكمامات الواقية من انتقال الفيروس في كل الأماكن وفي العمل، وذلك بداية من يوم الأربعاء 15/4.
Hii ilikuja katika taarifa iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Chad, Akiongeza kuwa uamuzi wa serikali ulikuwa umetolewa kuvaa barakoa (maski) za kujikinga kutokana na maambukizi ya virusi katika maeneo yote na kazini, kuanzia Jumatano 15/4.
وأشار إلى أن هذا القرار يأتي كجزء من تعزيز التدابير الصحية والإجراءات الاحترازية للوقاية من كورونا في البلاد.
Alashiria kuwa uamuzi huu unakuja kama ni sehemu ya kuimarisha hatua za kiafya na hatua za tahadhari ili kujikinga dhidi ya corona nchini.
ترجمة:
أسماء بلال
مترجمة وباحثة متخصصة في الشأن الإفريقي