أعلن مكتب منظمة الصحة العالمية في إفريقيا، أن دفعة أولى "من المعدات الطبية ضد فيروس كوفيد 19" ستنطلق اليوم من أديس أبابا، وذلك من أجل "مساعدة العاملين الصحيين بالخطوط الأمامية في جميع البلدان الإفريقية".
Ofisi ya Shirika la Afya Duniani ilitangaza kwamba sehemu ya kwanza ya "vifaa vya matibabu dhidi ya virusi vya Covid 19" itazindulia leo kutoka Addis Ababa, ili "kusaidia wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele katika nchi zote za Afrika."
وأضاف المكتب الإقليمي للصحة العالمية، على صفحته على فيسبوك، أن هذه المعدات ستساعد دول القارة، على "رفع القدرات على مستوى إجراء الاختبارات، وعلاج المزيد من المرضى وضمان حماية العاملين الصحيين".
Ofisi ya kikanda ya shirika la afya Duniani, kwenye ukurasa wake wa Facebook, imeongeza kuwa vifaa hivi vitasaidia nchi za bara hilo "kuongeza uwezo katika suala la upimaji, kutibu wagonjwa zaidi na kuhakikisha ulinzi wa wafanyakazi wa afya."
وكانت منظمة الصحة العالمية قد دعت في وقت سابق إفريقيا، إلى "الاستعداد للأسوأ" فيما يخص فيروس كورونا المستجد. ودعا رئيس النيجر محمدو إسوفو، قبل أيام المجتمع الدولي إلى وضع "خطة مارشال" لمواجهة كورونا على مستوى القارة الإفريقية.
Hapo awali, Shirika la Afya duniani liliitaka Afrika "kujitayarisha kwa hali mbaya zaidi" kuhusu virusi vipya vya corona, Siku chache zilizopita, Rais wa Niger Mohamedou Issoufou alitaka jamii ya kimataifa kuweka "Mpango wa wa hali ya juu" kukabiliana na Corona katika ngazi ya bara la Afrika.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي