Jumanne Aprili 28, Ofisi ya Rais ya Algeria ilitangaza uteuzi wa Waziri wa zamani wa Fedha wa Algeria, Abdel Rahman bin Khalifeh kama Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika.
الإفريقي، عبد الرحمن بن خالفة، وزير المالية الأسبق مبعوثاً خاصا للاتحاد الأفريقي.
Ofisi ya Rais ya Algeria ilisema katika taarifa yake Jumanne jioni kwamba "kutokana na pendekezo la Rais Abdel Majid Taboun, Cyril Ramafuza, Rais wa Afrika Kusini, na Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika walimteuwa Abd al-Rahman bin Khalifah, Waziri wa fedha wa zamani kama mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika.
Taarifa hiyo iliongeza "kwa namna hii , Khalafah ameteuliwa na kikundi kwa uwakilishi maalumu kuhamasisha msaada wa kiuchumi na kifedha wa Kimataifa utakaowezesha Afrika kukabiliana na changamoto zinazotokana na ueneaji wa janga la virusi vya Corona,"
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي