Siku ya Jumanne Aprili,28, Wizara ya Afya ya Mali ilitangaza usajili wa maambukizi 19 mapya ya virusi vipya vya "Corona"..
Wizara hiyo ilisisitiza katika taarifa rasmi iliyoripotiwa na shirika la habari la Mali kwamba idadi ya watu walioambukizwa nchini Mali na virusi vipya vya Corona walifikia watu 408 tangu kugunduliwa janga hili kwa mara ya kwanza nchini Mali mwishoni mwa Machi iliyopita, na taarifa hiyo iliongeza kuwa watu 113 walipona miongoni mwa walioambukizwa, wakati watu 23 walikufa.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي