الجمعة، 1 مايو 2020

رؤساء الساحل الإفريقى الخمس يؤكدون تضامنهم ضد الإرهاب

 رؤساء الساحل الإفريقي الخمس يؤكدون تضامنهم ضد الإرهاب - الريادة

أكد رؤساء موريتانيا ومالي والنيجر وتشاد وبوركينافاسو تضامنهم ضد الإرهاب والمضي قدماً في الدفع بعجلة التنسيق المشترك إلى الأمام في إطار المعركة الكبرى التي تخوضها دول المجموعة ضد التطرف العنيف والتهديدات الإرهابية التي تواجهها.

Marais wa Mauritania, Mali, Niger, Chad na Burkina Faso walisisitiza juu ya mshikamano wao dhidi ya ugaidi, na kusonga mbele katika kuendeleza uratibu wa pamoja katika mfumo wa vita vikubwa ambavyo nchi za kikundi hicho zinapigana dhidi ya vikundi vyenye msimamo mkali na vitisho vya ugaidi vinavyowakabili.

جاء ذلك في ختام قمة طارئة عقدت عن بعد الاثنين 27/4 وترأسها من القصر الرئاسي في نواكشوط الرئيس الموريتاني محمد ولد الشيخ الغزواني

Hii ilikuja mwishoni mwa mkutano wa dharura uliofanyika kwa mbali Jumatatu 27/4 ukiongozwa na Mohamed Walad Sheikh El-Ghazwani Rais wa Mauritania katika  Jumba la Urais huko Nouakchott.

وذكرت الإذاعة الموريتانية أن قمة نواكشوط تهدف إلى التحضير لقمة متعددة الأطراف تعقد اليوم الثلاثاء 28/4 عن بعد في بروكسل بين الاتحاد الأوروبي ومجموعة الخمس في الساحل، بغية تعزيز التنسيق والتشاور وحشد الدعم للبرنامج ذي الأولوية للمجموعة الذي يؤكد على تلازم الأمن والتنمية.

Redio ya Mauritania ilitaja kuwa mkutano wa kilele wa Nouakchott unalenga kuandaa mkutano wa kimataifa wa pande mbalimbali utakaofanyika leo Jumanne 28/4 mkutano kwa mbali huko Brussels kati ya umoja wa Ulaya na Kundi la umoja wa nchi tano za pwani, ili kuimarisha uratibu na mashauriano na kuhamasisha msaada kwa programu za kipaumbele wa kikundi hicho, ambacho kinasisitiza ushirikiano wa usalama na maendeleo..

ويهيمن على القمة الملفان الأمني والاقتصادي  وتبحث تعزيز الاندماج في المنطقة وإنشاء دبلوماسية فاعلة لمصلحة السلم وتعزيز التنمية في المنطقة والتزام الشركاء الفنيين والماليين لمجموعة الخمس في الساحل بالوفاء بتعهداتهم لإطلاق مشاريع استثمارية وتنموية ناجعة في فضاء الساحل.

Mkutano  wa kilele huo unaongozwa na masuala ya usalama na uchumi, na unatafiti kuimarisha ushirikiano katika eneo hili, na kuanzisha diplomasia endelevu  kwa maslahi ya amani na kuimarisha  maendeleo katika eneo hili, na kujitolea  washirika wa kiufundi na kifedha wa Kundi la nchi tano za pwani kutimiza ahadi zao za kuzindua miradi bora ya uwekezaji na maendeleo yanyofaa katika nafasi ya  pwani. 
ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات