ترأس وزير الصحة الجزائري عبد الرحمن بن بوزيد الخميس 9/4 لقاءاً جمع خبراء من المركز الصيني للمراقبة والوقاية من الأمراض ونظرائهم الجزائريين باستعمال تقنية الفيديو كونفرنس.
حضر اللقاء الوزير عبد الرحمن جمال لطفي بن أحمد، إضافة إلى عدد من الخبراء العرب في مجال الصحة بهدف نقل التجربة الصينية في مجابهة وباء كورونا.
Algeria yaiga jaribio la China ili kupambana na Corona.
Siku ya Alhamisi 9 /4 ,Waziri wa Afya wa Algeria Abdul Rahman Bin Bouzid aliongoza mkutano wa wataalam kadhaa kutoka Kituo cha Ufuatiliaji na Kuzuia Magonjwa cha China na wenzao wa Algeria kwa kutumia mtindo wa Video Konfrance.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Waziri Abdul Rahman Gamal Lotfi Bin Ahmed, pamoja na wataalam kadhaa wa Kiarabu katika Nyanja ya afyakwa lengo la kuhamisha jaribio la kichina ili kupambana na Virusi vya Corona .
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى