Wizara ya Utalii na Mambo ya kale: Usafishaji na utakaso maeneo yote ya akiolojia na majumba ya kumbukumbu
حرص الدكتور خالد العناني وزير السياحة والآثار على توجيه رسالة مصورة إلى الشعب المصري وشعوب العالم، داعيا اياهم بالالتزام بمنازلهم والحفاظ على صحتهم وصحة وسلامة اهلهم وأحبائهم والالتزام ايضا بشروط الصحة والسلامة والوقاية المعتمدة من منظمة الصحة العالمية، آملا في اجتياز هذه المحنة سريعا والقضاء على فيروس كورونا المستجد.
Dk Khaled Al-Anani, Waziri wa Utalii na Mambo ya kale, alituma ujumbe wa picha kupitia mitandao ya kijaamii kwa watu wa Wamisri na watu wa ulimwengu, akiwataka kubaki majumbani mwao, kuhifadhi afya zao,familia zao na za wapendwa wao, na pia kuwajibika na masharti ya afya, usalama na kinga iliyopitishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni, akitumaini kushinda shida hii haraka na kumaliza virusi vya Corona(Covid19)
.
وأضاف الوزير أنه خلال تواجد الجميع في منازلهم واتباعهم لتعليمات الصحة والسلامة تقوم وزارة السياحة والآثار بأعمال تطهير وتعقيم المواقع والمتاحف الأثرية بشكل دوري كما تقوم بمراقبة إجراءات تطهير المنشآت السياحية والفندقية بجميع أنواعها استعدادا لاستقبالها للزائرين والسائحين فور انتهاء الأزمة العالمية وعودة الحركة السياحية إلى طبيعتها، كما تمنى وزير السياحة والآثار الشفاء والسلامة والصحة للشعب المصري وجميع شعوب العالم
.
Waziri aliongeza kuwa wakati wa
kuwepo watu wote majumbani mwao na kufuata maelekezo ya afya na usalama,
Wizara ya Utalii na Mambo ya kale itasafisha na kutakasa maeneo
ya akiolojia na majumba ya makumbusho , pia inafuatilia hatua
za kusafisha majengo ya watalii na hoteli za kila aina katika
maandalizi ya kupokea wageni na watalii mara tu baada ya shida ya kidunia
itakapomalizika na kurudi harakati za watalii kuwa za kawaida,
pia Waziri wa Utalii na Mambo ya kale aliwatakia uponaji,
usalama na afya ya watu wa Misri na watu wote wa ulimwengu.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي