أمر الرئيس الرواندي بول كاجامي بتوزيع المواد الغذائية على مواطني بلاده وعلى الأجانب المقيمين وذلك خلال فترة الحجر الصحي، كما أقرّ مجّانية استهلاك الكهرباء للمواطنين في البلاد وذلك ضمن إجراءات حكومية تم اتخاذها في إطار مجابهة تداعيات انتشار فيروس كورونا.
وسيتولى الرئيس الرواندي الإشراف بنفسه على مراقبة توزيع المواد الغذائية لتجنب المحسوبية.
وسجلت رواندا أكثر من 60 إصابة مؤكّدة بفيروس كورونا.
Rais
wa Rwanda aamuru ugawaji wa chakula na umeme bure kwa watu, kwa sababu ya Corona
Rais
wa Rwanda Paul Kagame ameamuru ugawaji wa chakula kwa raia wa nchi yake na kwa
wageni wakati wa kipindi cha karantini, na pia ameidhinisha utumiaji wa umeme
bure kwa raia nchini, na hiyo ni miongoni mwa hatua za serikali
zilizochukuliwa katika mfumo wa kukabili athari za kuenea kwa virusi vya
Corona. Na Rais wa Rwanda atasimamia mwenyewe mazoezi ya udhibiti wa
ugawaji wa chakula ili kuepusha na mgongano wa upendeleo.
Rwanda
imerekodi zaidi ya kesi 60 zilizothibitishwa kutokana na Virusi vya
Corona.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي