الاثنين، 6 أبريل 2020

Biashara ya thamani ya dola bilioni 7 kati ya China na Afrika mwaka jana



الأهالي – الصين في النظام الدولي:التحدّي الأكثر واقعيّة


 7 مليار دولار قيمة التجارة بين الصين وأفريقيا العام الماضي
Biashara ya thamani ya dola bilioni 7 kati ya China na Afrika mwaka jana

 ذكرت وزارة التجارة الصينية عبر موقعها الرسمي أن قيمة التجارة بين الصين والدول الأفريقية بلغت 7.208 مليار دولار أمريكي في عام 2019 بزيادة 2ر2% مقارنة بالعام السابق عليه

Wizara ya Biashara ya china ilisema kwenye Tovuti yake rasmi kuwa kiasi cha  biashara kati ya China na nchi za Afrika ilikuwa dola bilioni 208.7 mwaka 2019, kwa ongezeko la asilimia 2.2 ikilinganishwa na mwaka uliopita.         
.
وبحسب ما أوردته وكالة أنباء الصين الجديدة (شينخوا) الجمعة 3/4 سجلت واردات الصين من الدول الأفريقية 5ر95 مليار دولار العام الماضي بانخفاض قدره 8ر3% على أساس سنوي

Kulingana na shirika la Habari la China  mpya (Xinhua) liliripoti  siku ya Ijumaa 3/4 uagizaji wa China kutoka nchi za Kiafrika zilizorekodi dola bilioni 95,5 mwaka jana,  kwa upungufu wa asilimia 3.8  ya kila mwaka.
.
ووصلت قيمة الصادرات الصينية إلى الدول الأفريقية العام الماضي 2ر113 مليار دولار 9ر7% مقارنة بالعام السابق عليه

Kiasi cha usafirishaji wa China kwenda nchi za Afrika mwaka jana ilifikia dola bilioni 113.2,  kwa asilimia 7.9 ikilinganishwa na mwaka uliopita

وبلغ حجم الاستثمارات الصينية في مختلف القطاعات بالدول الأفريقية في عام 2019 ثلاثة مليارات دولار، كما وقعت الشركات الصينية عقودا بقيمة 9ر55 مليار دولار، وأنجزت أعمالا بقيمة 46 مليار دولار

Kiasi cha uwekezaji wa china katika sekta mbali mbali katika nchi za Kiafrika mwaka 2019 kilifikia dola bilioni tatu, pia kampuni za China zilisaini mikataba yenye thamani ya dola bilioni 55.9, na kukamilika kazi zenye thamani ya dola bilioni 46

ترجمة 
أحمد مصطفي متولي 
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي 


شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات