Rais wa Malawi na Mawaziri wanapunguza mishahara yao kwa 10% kupambana na Corona
قال رئيس مالاوي بيتر موثاريكا السبت 4/4 إنه قرر هو ومجلس الوزراء خفض رواتبهم 10% وتوجيه هذه النسبة من الأموال إلى جهود مكافحة فيروس كورونا المستجد.
Rais wa Malawi Peter Mutharika alisema Jumamosi 4/4 kwamba yeye na Baraza la Mawaziri waliamua kupunguza mishahara yao kwa 10% na kuelekeza sehemu hii ya fedha kwanye juhudi za kupambana na Virusi vya Corona(Covid19)
وأعلن موثاريكا في خطاب للشعب بثه التلفزيون سلسلة من الإجراءات تهدف إلى التخفيف على المؤسسات الصغيرة والمتوسطة الحجم بما في ذلك إعفاءات ضريبية وخفض مخصصات الوقود وزيادة مخصصات المخاطر للعاملين في مجال الصحة.
Mutharika alitangaza katika hutuba kwa watu kwenye televisheni kutokana na baadhi ya hatua zinazolenga kupunguza taasisi ndogo na za kati, pamoja na misamaha ya ushuru, kupunguza mgao wa mafuta na kuzidisha mgao kwa wafanyikazi wa afya
وصرح الرئيس: "نواجه وضعا لم يسبق له مثيل.. الحكومة تتخذ هذه الإجراءات لضمان استمرار عجلة الاقتصاد".
Rais alisema: "Tunakabiliwa na hali isiyo ya kawaida , serikali inachukua hatua hizi kuhakikisha mwendelezo wa gurudumu la uchumi.
وأمر الرئيس أيضا بفتح أسواق التبغ والسماح بالعمل دون تعطل لحماية المزارعين الصغار من أجل زيادة العملة الأجنبية, وتعد تجارة التبغ في مالاوي أكبر مصدر للعملة الأجنبية.
Rais pia aliamuru kufunguliwa kwa soko la tumbaku na kuruhusu kazi bila ya kusitisha, kulinda wakulima wadogo ili kuongeza fedha za kigeni Biashara ya
tumbaku Malawi ndio chanzo kikubwa zaidi cha fedha za kigeni
tumbaku Malawi ndio chanzo kikubwa zaidi cha fedha za kigeni
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي