إيكواس" تستثمر 36 مليون دولار في مشروعات للكهرباء تخدم سكان المجموعة
ECOWAS "inawekeza Dola milioni 36 katika miradi ya umeme ambayo inawatumikia wakazi wa kikundi hicho
أعلنت المجموعة الاقتصادية لدول غرب أفريقيا «ايكواس» أنها ستستثمر 36.3 مليون دولار أمريكي في مشروعات لإيصال الكهرباء لدول المنطقة. وأشارت المجموعة -فى بيان صدر عن أمانتها العامة الأربعاء8-4-2020، إلى أن هذا الاستثمار سينقسم إلى 25.9 مليون دولار توجه لتمويل مشروعات إنتاج الكهرباء و10.4 مليون دولار لنقل الكهرباء وإيصالها للمنازل.
Jumuiya ya Uchumi wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ilitangaza kwamba itawekeza dola milioni 34.3 za Marekani katika miradi ya kufikisha umeme kwa nchi za kanda hiyo. Katika taarifa iliyotolewa na Sekretarieti yake kuu Jumatano 4-4-2020. kikundi hicho kilionesha kuwa uwekezaji huu utagawanywa dola milioni 25,9 zilizoelekezwa kwa fedha za miradi ya uzalishaji wa umeme na dola milioni 10.4 kuhamisha umeme na kuipeleka majumbani
Dabiré Bayernbe mwakilishi wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uchumi wa nchi za Afrika Magharibi alisisitiza kwamba kwa ajili ya mafanikio ya ubadilishanaji wa kibiashara kati ya nchi wanachama na Jumuiya hicho, lazima tufikie suluhisho ambalo linasaidia utumiaji wa uzoefu ili kuingia mikataba ambayo inafaa kwa ajili ya soko la umeme la kikanda".
Aliongeza kuwa wawakilishi kutoka nchi wanachama kadhaa wa jumuia hiyo wameweka masharti muhimu ya kuwezesha mchakato wa kupeleka umeme kwa wakazi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Magharibi, ambapo kiwango cha upatikanaji wa umeme kwa idadi ya watu inakadiriwa kuwa asilimia 45.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي