الثلاثاء، 31 مارس 2020

راتب الرئيس مغوفولي الأقل من بين نظرائه الروئساء



jpmagufuli Instagram posts (photos and videos) - Picuki.com


Mshahara wa Magufuli mdogo kuliko marais wenzake

راتب الرئيس مغوفولي الأقل من بين نظرائه الروئساء

 Rais wa Tanzania John Magufuli amefichua kuwa anapokea mshahara wa shilingi milioni 9 za Kitanzania kwa mwezi, sawa na dola 4000, hivyo kumfanya miongoni mwa viongozi wachache wa Afrika wanaopokea mishahara midogo.
كشف الرئيس التنزاني جون ماجوفولي أنه يحصل على راتب قدره 9 ملايين شلن تنزاني شهريًا ، أي ما يعادل 4000 دولار ، مما يجعله أحد القادة الأفارقة القلائل الذين يحصلون على رواتب منخفضة.
 Rais Magufuli yuko katika harakati za kufanikisha sera ambayo imeshutumiwa vikali ya kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya fedha za umma.
إن الرئيس ماجوفولي بصدد تنفيذ سياسة تعرضت لانتقادات واسعة النطاق بسبب خفض الإنفاق العام علي نحو كبير.

 Katika hotuba aliyoitoa mjini Dar Es Salam siku ya Jumanne wiki hii, Kiongozi huyo wa Tanzania alisema serikali imepunguza mishahara ya maafisa wakuu watendaji wa mashirika ya serikali hadi shilingi milioni 15 ambazo ni sawa na dola 6,700 kiasi ambacho ni cha juu kuliko mshahara wake.
وقال الرئيس التنزاني في خطابه الذي  ألقاه في دار السلام يوم الثلاثاء ، إن الحكومة خفضت رواتب كبار المسؤولين الحكوميين إلى 15 مليون شلن ، أي ما يعادل 6700 دولار ، وهو أعلى من راتبه الشخصي.
 Magufuli alisema kama wanahisi kiwango hicho cha fedha ni kidogo, wana uhuru wa kuziacha kazi zao akiongeza kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamekithiri katika mashirika ya serikali na amekataa maombi kutoka kwa baadhi ya maafisa kuongeza marupurupu yao akihoji hawezi kuongeza mishahara ya watumishi wa umma wakati raia wa kawaida hawana huduma za maji, afya na umeme.

 الرئيس التنزاني يكشف عن راتبه الشهري!
وقال مغفولي إذا ما شعروا أن الدعم المالي منخفض ، فلهم الحق في ترك مناصبهم ، مضيفًا أن إساءة استخدام الأموال العامة متفشية في المؤسسات الحكومية ,وقد رفض (دعوات) طلبات لبعض المسؤولين لزيادة إمتيازاتهم مسائلا إياهم  أنه لا يستطيع  زيادة رواتب الموظفين العموميين في ظل عدم توافر الحاجات الأساسية  كالمياه والصحة والكهرباء للمواطنين !

 Tangu kuchukua madaraka mwezi Novemba mwaka 2015, Magufuli ajulikanaye kwa jina maarufu la Tinga Tinga, amepunguza matumizi ya serikali kwa kuchukua hatua kadhaa kama kudhibiti safari za nje za maafisa wa serikali, kuondolewa kwa wafanyakazi hewa kutoka kwa utumishi wa umma.

. منذ توليه منصبه في نوفمبرعام 2015 ، خفض الرئيس مغوفولي المشهور بلقب Tinga Tinga  الإنفاق الحكومي من خلال اتخاذ خطوات مثل التحكم في سفر المسؤولين الحكوميين إلي الخارج، وإقالة الموظفين من الخدمة العامة.

 Zuma apokea Dola za Kimarekani 20,000 Baadhi ya wakosoaji wake wanamshutumu kuwa baadhi ya hatua zake zimevuka mipaka wakihoji zitaathiri ukuaji wa kiuchumi wa taifa hilo la pili kwa nguvu za kiuchumi katika kanda ya Afrika Mashariki na baadhi ya maamuzi yake yanaoekana kurudisha nyuma uwekezaji katika sekta muhimu kama madini.
يتقاضي رئيس جنوب إفريقيا (زوما)أجرا يقدر ب 20 ألف دولار شهريا  ويتهمه بعض منتقديه أن بعض أفعاله تخطت الحدود, مسائلينه أن أفعاله تلك, ستؤثر سلبا  على النموالإقتصادي  لهذا البلد والذي يعد ثاني أكبر قوة  اقتصادية مستثمرة في منطقة شرق أفريقيا ,ويبدو أن بعض قراراته ستؤثر علي  الاستثمار في القطاعات الرئيسه مثل التعدين.

 Mshahara wa Magufuli ukilinganishwa na wa viongozi wengine wa Afrika ni mdogo mno.
,ويعد  راتب الرئيس  مغوفولي إذا ما قُورن براتب القادة الأفارقة الآخرين فهو قليل للغاية.
 Kiongozi huyo wa Tanzania hana vyanzo vingine vya kujipatia kipato vinavyojulikana, na serikali yake mwaka jana ilisema ina mipango ya kuwasilisha mswada bungeni utakaowazuia viongozii wa umma kujishughulisha na biashara ili kuepusha mgongano wa maslahi.

وليس لهذا القائد التنزاني  مصادر دخل أخرى معروفة, وصرحت  حكومته العام الماضي أنها تخطط لتقديم مشروع قانون في البرلمان  والذي بدوره سيمنع (رجال الدولة)المسؤولين الحكوميين من الانخراط في الأعمال التجارية لتجنب التضارب في المصالح.
Rais wa nchi jirani ya Kenya Uhuru Kenyatta anapokea mshahara wa takriban dola 14,000 kwa mwezi, Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma analipwa mshahara wa dola 20,000 kwa mwezi kufuatia bunge mwaka 2015 kuidhinisha nyongeza ya mshahara wa rais.
ويتقاضي نظيره  الرئيس الكيني أوهورو كينياتا راتبا يقدر  بحوالي 14000 دولار شهريًا  بينما يتقاضي رئيس جنوب إفريقيا جاكوب زوما راتبا يقدرب 20000 دولار شهريًا بعد أن إعتمد البرلمان الزيادة الجديدة لراتب الرئيس عام 2015.


 Kiongozi mwingine wa Afrika ambaye ana mshahara wa wastani ni Rais wa Nigeria Muhamadu Buhari ambaye alikubali mshahara wake upunguzwe kwa asilimia 50 alipoingia madarakani mwezi Mei mwaka 2015. Awali mshahara wa Rais wa Nigeria ulikuwa naira milioni 14.1 ambazo zilikuwa ni sawa na dola 70,000 wakati huo.
وهنا لدينا قائد أفريقي آخر يتقاضي راتب معتدل هو الرئيس النيجيري محمد بوخاري والذي وافق على خفض راتبه بنسبة تقدر ب 50 % حينما (تسلم حكم البلاد )وصل إلى السلطة في مايو  عام2015 ,وسابقا  كان يقدر راتب الرئيس النيجيري بحولي 14.1 مليون يورو ، أي ما يعادل حوالي 70 ألف دولار.


شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات