توماس نكونو
"أسطورة حراس
المرمى" .. لقب حصل عليه اللاعب الكاميروني "توماس نكونو" والذي يُعد
واحدًا من أفضل من شغلوا هذا المركز بإفريقيا.
وُلد توماس نكونو في 20 يوليو 1956 .
Thomas N'Kono (kameroon))
Nguli wa magolikipa..
Jina aliloitwa mchezaji wa kameroon "Thomas N`kono", ambaye
ni mmojawapo wa wachezaji bora zaidi
ambao walichukua nafasi hii katika bara
la Afrika
Thomas N'Kono amezaliwa Julai
20, 1956.
مسيرته الاحترافية :
مسيرته الاحترافية :
- بدأ توماس نكونو، مشواره المحلى في الدوري الكاميروني، منتصف السبعينات مع فريقي "كانون ياوندى" ( 1974–1975 ) و"تونير ياوندى" ( 1975–1976 ) - أكبر فرق الكاميرون فى ذلك الوقت - وتمكن من قيادة تونير ياوندى للفوز ببطولة إفريقيا أبطال الكؤوس 1975.
- Thomas N`kono alianza safari yake ya kimichezo katika ligi za nchini kwake Cameroon katikati ya miaka ya sabini katika timu za "Kanon Yaounde"
(1974-1975) na Toner Yaounde (1975-1976) – timu hizo ni kubwa zaidi nchini Kameroon wakati huo - na ameweza kuongoza timu ya Toner Yaounde na kushinda michuano ya Afrika,
Mabingwa wa Makombe 1975.
- انتقل مجددا إلى نادي " كانون ياوندي" ( 1976–1982 )، فاز معهم ببطولتين إفريقيتين للأندية أبطال الدوري 1978 و1980 (دوري أبطال إفريقيا حاليا) وبطولة أبطال الكؤوس للأندية 1979 ليتم اختياره من قبل جريدة "فرانس فوتبول" أفضل لاعب في إفريقيا لعام 1979 وهو أول حارس مرمى ينال هذه الجائزة (فاز بها مره أخرى بنفس الجائزة عام 1982).
na aliihama timu ya Kanon Yaunde (1976-1982) na alichukua ubingwa wa Afrika na timu hiyo mara mbili katika michuano ya kombe la Afrika: Mchuano wa Mabingwa wa Ligi mwaka 1978 na 1980 (Ligi ya Mabingwa ya Afrika kwa sasa) na mchuano wa Mabingwa wa makombe mwaka 1979, kwa hivyo alichaguliwa na gazeti la "Francis Football" kama mchezaji bora zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 1979 naye ni golikipa wa kwanza aliyechukua tuzo hii (Alishinda tuzo hii kwa mara ya pili katika mwaka wa 1982)

- شارك مع منتخب بلاده " الكاميرون" في كأس
العالم 1982 ، التي كانت تلعب في مجموعة قوية جدًا مع إيطاليا
وبولندا وبيرو إلا أن مرماه لم يستقبل سوى هدف وحيد من إيطاليا وهو ما عجل
باحترافه خارج الكاميرون إلى فريق "إسبانيول" الإسباني.
Alicheza na timu ya Taifa ya nchi yake Kamroon katika kombe la dunia mwaka wa 1982, na wakati huu Kameroon ilikuwa katika kundi gumu sana pamoja na Italia,
Poland na Peru na lilifungwa goli moja tu na timu ya Taifa ya Italia, na hilo lilimrahisishia kujiunga kwake na timu ya Hispania "Espoaniol" nje ya kameroon.
- نكونو كان لاعبًا أساسيًا في كأس الأمم الأفريقية 1984 التي فاز بها الفريق و1986 التي خسرها الفريق بركلات الترجيح من مصر.
N'kono alikuwa mchezaji muhimu sana katika mchuano wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1984 ambapo timu ya Kameroon ilishinda, na katika mchuano wa mwaka 1986 ambapo timu ya Kameroon ilishindwa mchuano huo kwa penanti na timu ya Misri.

-
لعب "نكونو" مع إسبانيول
سبعة مواسم بشكل أساسي في الدوري الاسباني ( 1982–1991 )، وتمكن
توماس من قيادة إسبانيول في موسم 87-88 لنهائي كأس
الاتحاد الأوروبي أمام فريق باير ليفركوزن وهو النهائي الذى فاز فيه كل فريق 3-0 على أرضه
ليخسر إسبانيول بركلات الترجيح رغم تصدي نكونو لأول ركلة لكن زملاؤه أضاعوا ثلاث
ركلات أطاحت بحلم اللقب الأوروبي.
Thomas N'kono alikuwa mchezaji muhimu sana katika timu ya Espaniol kwa misimu saba katika ligi ya Hispania (1982 - 1991), na aliweza kuongoza timu yake ya Espaniol katika msimu wa 87-88 kwa fainali ya Kombe la Umoja wa Ulaya mbele ya timu ya Bayar Liverkozn na katika fainali hii kila timu ilishinda mabao matatu juu ya ardhi yake na Espaniol ilishindwa kwa penanti ingawa N`kono alidaka penanti ya kwanza lakini wachezaji wenzake walipoteza penanti tatu ambazo ziliondosha ndoto ya kupata Kombe la Umoja wa Ulaya

- بعد هبوط
فريق " اسبانيول" للدرجة
الثانية لعب بعدها مع بعض فرق الدرجة الثانية في اسبانيا ثم لعب ثلاث سنوات في
فريق "كلوب بوليفار" البوليفى حتى
عام 1997 و فاز معهم
بالدوري مرتين و اعتزل الكره بعد أن أتم عامه الواحد والأربعين.
- Baada ya timu ya"Espaniol" kushuka daraja la pili, N`kono alicheza na baadhi ya timu za daraja la pili nchini Hispania na kisha alicheza miaka mitatu katika timu ya "Bolivar Club" hadi mwaka wa 1997 na alishinda ligi mara mbili na timu ya "Bolivar Club" na alistaafu kucheza mpira wa miguu baada ya kutimiza miaka arubaini na moja.

ترجمة:
بسنت خالد شوقي
باحثة ومترجمة متخصصة في الشأن الإفريقي