تسجيل أول إصابة بفيروس كورونا عبر المخالطة داخل السودان
Sudan yasajili maambukizi ya kwanza ya virusi vya corona kwa njia ya kuchanganyika ndani ya Sudan
أعلنت وزارة الصحة السودانية، الخميس 2-4-2020، تسجيل إصابة جديدة بفيروس كورونا، ليرتفع عدد الإصابات إلى 8 حالات.
Siku ya Alhamisi 2-4-2020, Wizara ya Afya ya Sudan ilitangaza kusajili maambukizi mapya na virusi vya corona, kufikia idadi ya wagonjwa 8.
وأوضحت وزارة الصحة السودانية في بيان اليوم، أن التقارير الوبائية أكدت تسجيل أول إصابة بفيروس "كورونا" عن طريق المخالطة، لتصبح تلك الحالة هى الأولى للانتقال المحلي للفيروس في السودان، حيث إن الإصابات السبع الأخرى والتي توفيت منها حالتان كانت كلها عائدة من الخارج.
Wizara ya Afya ya Sudan imefafanua katika taarifa yake leo, kwamba ripoti za janga zilithibitisha usajili wa maambukizi ya kwanza ya virusi vya "corona" kwanjia ya kuchanganyika, na kuwa ndiye mgonjwa wa kwanza kwa maambukizi ya virusi nchini Sudan, ambapo wagojwa wengine saba wawili walifariki, wote walitoka nje.
وأضافت "الصحة السودانية" أن مجمل حالات الاشتباه بالإصابة بفيروس "كورونا" في مراكز العزل بالسودان بلغت 127 حالة اشتباه منها 15 حالة يوم أمس الأربعاء، مشيرة إلى متابعة 2833 شخصا من القادمين من عدد من الدول التي شهدت انتشارا للفيروس عبر مطار الخرطوم منذ 25 يناير الماضي منتشرين في عدد من الولايات.
"Wizara ya afya ya Sudan" iliongeza kuwa jumla ya wagojwa wanaoshukiwa kuwa na virusi vya "corona" katika vituo vilivyo tengwa nchini Sudan walifikia wagojwa 127 walioshukiwa, miongoni mwa hao wagonjwa 15 jana Jumatano, ikiashiria ufuatiliaji wa watu 2833 wanaokuja kutoka nchi kadhaa ambazo zimeshuhudia kuenea virusi hivyo kupitia uwanja wa ndege wa Khartoum tangu Januari 25 iliyopita walienea katika majimbo kadhaa.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي