قمة عن بعد للإيكواس تبحث تطور كورونا بغرب إفريقيا
Mkutano wa mbali wa ECOWAS unajadili maendeleo ya Corona huko Afrika Magharibi
ناقش قادة المجموعة الاقتصادية لدول غرب إفريقيا "الإيكواس" الخميس 23/4 في قمة استثنائية عبر الفيديو عن بعد تطور انتشار فيروس كورونا المستجد في المنطقة.
Viongozi wa kundi la Uchumi wa Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) walijadili Alhamisi Aprili 23, kwenye mkutano wa kilele cha ghafla kupitia mkutano wa video maendeleo ya ueneaji wa virusi vipya vya Corona katika eneo hilo.
وتباحث قادة المجموعة التي يرأسها دوريا رئيس النيجر محمدو إسوفو على مدى ساعتين تداعيات انتشار كوفيد 19 في الفضاء غرب الإفريقي وسبل مواجهته.
Viongozi wa kundi hilo, ambalo linaongozwa kwa njia yamzunguko na Rais wa sasa wa Niger Mohamedou Issoufou , walijadili kwa masaa mawili athari za ueneaji wa covid 19 katika maeneo ya Afrika Magharibi na njia za kuikabili.
وقد أكد مختلف رؤساء الدول الأعضاء بالمجموعة مشاركتهم في أول قمة تعقدها المنظمة هاتفيا منذ تأسيسها في مايو عام 1975.
viongozi mbali mbali wa nchi wanachama wa kikundi hicho walisisitiza juu ya ushiriki wao katika mkutano wa kwanza uliofanywa na kundi hilo kwa njia ya simu tangu kuanzishwa kwake Mei 1975.
وكان الاتحاد الإفريقي قد عقد الاربعاء 22/4 قمة عبر تقنية الفيديو عن بعد ترأسها رئيسه الدوري رئيس جنوب إفريقيا سيريل رامافوزا وشارك فيها عدد من رؤساء الدول.
الاخبار الموريتانية
Siku ya Jumatano, Umoja wa Afrika ulifanya mkutano wa kilele 22/4 kupitia teknolojia ya mkutano wa video, uliyoongozwa na Rais wake, Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramafuza, na Marais kadhaa wa nchi walishiriki katika mkutano huo.
ترجمة
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي