الأحد، 19 أبريل 2020

السياحة: سفراء العالم يشكرون مصر لمساهمتها في عودة السائحين


السياحة سفراء العالم يشكرون مصر لمساهمتها في عودة السائحين - مصر


ذكرت وزارة السياحة والآثار، أنّ سفراء عدد من الدول مثل إيطاليا، وإنجلترا، والمكسيك، أعربوا عن تقدير بلادهم للدعم والجهود التي بذلتها مصر متمثلة في وزارة السياحة والآثار والجهات المعنية، لمساعدة مواطنيهم الذين جاءوا إلى مصر بهدف السياحة لمغادرة مصر بطريقة منظمة.
وأضافت الوزارة في بيان صحفي اليوم، أنّ سفير دولة بريطانيا سير چيفري آدامز، أعرب عن تقدير بلاده للدعم والجهود التي بذلتها وزارة السياحة والآثار والجهات المعنية لمساعدة 13 ألف سائح بريطاني من العالقين في مصر وعودتهم إلى بلدهم.
كما وجّه وزير الخارجية البريطاني دومينيك راب، عبر تغريدة على تويتر، التحية لمصر على الدعم والمساعدة لعودة هؤلاء البريطانيين إلى بلدهم.
وقدّم السفير جيامباولو كانتيني سفير دولة إيطاليا، جزيل التحية والشكر عن التعاون الكبير والمساعدة التي لاقتها السفارة الإيطالية من السلطات المصرية المعنية التي بذلت كل الجهد لإعادة المواطنين الإيطاليين 
كما قدم سفير دولة المكسيك بالقاهرة الشكر، على مساعدة السلطات المصرية في عودة رعاياه إلى بلادهم بعد تعليق الطيران.

Wizara ya Utalii: mabalozi wa ulimwengu waishukuru Misri kwa mchango wake katika kuwarudisha Watalii.
Wizara ya Utalii na vitu vya kale ilisema kuwa Mabalozi wa nchi kadhaa kama Italia ,Uingerza na Mexico wameonesha kuthamini kwa nchi zao kwa msaada na juhudi zilizotolewa na Misri zikiwakilishwa na Wizara ya Utalii na Vitu vya kale na vyombo husika ili kusaidia raia wao waliokuja Misri kwa lengo la Utalii kuondoka Misri kwa taratibu zilizoandaliwa .
Na Wizara iliongezea katika ripoti ya habari leo kuwa Balozi wa Uingereza Sir Jifry Adamz ameonesha kuthamini kwa nchi yake kwa msaada na juhudi zilizotolewa na Wizara wa Utalii na Vitu vya Kale na Vyombo husika kwa kusaidia Ili watalii wa Uingereza 13,000 waliokuwepo Misri kurudi nchi yao.
Pia Waziri wa Mambo ya nje ya Uingereza Duminik Rab , kwenye Twitter alitoa shukrani kwa Misri juu ya msaada wa kurudi Waingereza wale nchi yao .
Pia Balozi wa Italia Giambawolo Cantini alitoa shukurani na tathmini nyingi kuhusu ushirikiano mkubwa na msaada uliotolewa kwa Ubalozi wa Italia na Vyombo husika vya Misri  vilivyofanya juhudi kubwa  ili kurudisha raia wa Italia .
Balozi wa Mexico nchini Cairo pia alitoa shukrani  kutokana na msaada wa mamlaka ya Misri kurudisha raia wake kwa nchi yao baada ya kusimamishwa safari za  ndege .
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى

شارك الموضوع:

Related Posts
التعليقات