وصرح السفير محمود المغربي، أمين عام الوكالة المصرية للشراكة من أجل التنمية، أن الطلاب الأفارقة ركيزة اساسية للنهضة في القارة، التي تمتلك كوادر وطاقات شبابية تمكنها من العبور نحو مستقبل واعد في مجال التنمية، مؤكداً أن مذكرة التفاهم تأتي في إطار استمرار التعاون والدعم الذي تقدمه مصر للجامعة، حيث سبق للوكالة تقديم عدة منح دراسية لطلاب أفارقة في التخصصات المختلفة.
وتمنح الجامعة درجة الماجستير فى التنمية فى أحد المجالات الآتية: الصحة، والبيئة، والتراث الثقافي، والإدارة، والتعليم، كما تستقبل الجامعة سنوياً حوالى 200 طالب من كافة الدول الإفريقية المتحدثة باللغة الفرنسية.
Shirika la Misri la ushirikiano kwa ajili ya maendeleo linatia saini mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Sengor ili kutoa ufadhili wa kozi za masomo kwa wanafunzi wa Afrika.Shirika la Misri la Ushirikiano kwa ajili ya Maendeleo lilitia saini juu ya mkataba wa makubaliano na Chuo Kikuu cha Sengor mjini Alexandiria, unaotekeleza mujibu wake wa ufadhili wa kozi kumi za masomo kwa wanafunzi wa Afrika ili kupata shahada ya Uzamili .
Balozi Mahmoud Almaghraby, Katibu Mkuu wa Shirika la Misri la ushirika kwa ajili ya maendeleo, alisema kuwa wanafunzi wa Afrika ni mhimili wa msingi kwa ustawi katika bara lenye makada na nguvu za vijana ambao wanaweza kuelekea kwenye mustakbali mzuri katika uwanja wa maendeleo, akisisitiza kuwa mkataba wa makubaliano umekuja katika mfumo wa kuendeleza ushirikiano na msaada uliotelewa na Misri kwa Chuo kikuu hicho, ambapo hapo awali Shirika limetoa ufadhili kadhaa wa kozi za masomo kwa wanafunzi wa afrika katika Taaluma mbalimbali .
Chuo Kikuu kinatoa shahada ya Uzamili katika maendeleo katika nyanja zifuatazo:Afya ,Mazingera, urithi wa kiutamaduni ,idara na elimu kama ambavyo Chuo Kikuu hiki kinapokea wanafunzi 200 kutoka nchi zote za Afrika zinazozungumza Kifaransa .
ترجمة :
اسماء السيد بلال
مترجمة وباحثة متخصصة فى الشان الإفريقى