Senegal
السنغال
هي دولة أفريقيّة تقع في الجزء الغربيّ من القارة، وهي إحدى أبرز دول القارّة. سُميْت السنغال بذلك نسبةً إلى نهر السنغال الذي يحدّ الدّولة من الشمال.
Ni nchi ya Kiafrika iliyoko Magharibi mwa bara , na ni moja wapo ya nchi maarufu kwenye bara. Senegal imeitwa kwa jina hilo kutokana na Mto wa Senegal ambao unapakana na nchi kutoka kaskazini.
. والعلم يتكون من ثلاثة ألوان رئيسية وهم الأخضر والأصفر والأحمر وفي المتصف نجمة خماسية خضراء، وعن معني ألوان علم دولة السنغال والنجمة الخماسية الخضراء فقد جاءت على النحو التالي :
Bendera: Bendera ya Senegal ina rangi tatu kuu, ambayo ni kijani, manjano, nyekundu , na katikati nyota ya kijani yenye umbo la pembe tano. Na kuhusu maana ya rangi ya bendera ya nchi ya Senegal na nyota kijani yenye umbo la pembe tano, ni kama ifuatavyo:
اللون الأخضر : يرمز اللون الأخضر في العلم إلى نبي الله محمد صلى الله عليه وسلم بالنسبة للمسلمين في البلاد، ويرمز إلى الأمل بالنسبة لمتبعي الديانة المسيحية ويرمز إلى الخصوبة بالنسبة للإحيائيين .
Rangi ya Kijani: Rangi ya kijani kwenye bendera huashiria Nabii wa Allah Mtume Muhammad, S.A.W kwa Waislamu nchini, huashiria pia matumaini kwa wafuasi wa dini ya Kikristo, na huashiria uzazi kwa wanasaikolojia.
اللون الأصفر : وعن اللون الأصفر وهو يقع في منتصف العلم بالشكل الأفقي فهو يرمز إلى الثروات الطبيعية التي توجد بدولة السنغال .
Rangi ya manjano: Kuhusu rangi ya manjano, iliopo katikati ya bendera kwa usawa, huashiria maliasili ambayo hupatikana nchini Senegal.
. اللون الأحمر : واللون الأحمر يرمز إلى لون الدم وأيضاً الحياة وهو دليل واضح على التضحية بالدماء من أجل الحياة والنماء داخل البلاد .
Rangi Nyekundu: Kuhusu rangi nyekundu huashiria damu, pia maisha na ni dalili ya wazi juu ya kujitolea kwa damu kwa ajili ya maisha na maendeleo ndani ya nchi.
النجمة الخماسية : ويتوسط علم دولة السنغال واللون الأصفر نجمة خماسية باللون الأخضر وهي ترمز إلى الانفتاح على العالم وإلى استقلال البلاد وعن الخمس زوايا في النجمة فهي ترمز إلى أركان الدين الإسلامي الخمس بالنسبة للمسلمين .
Nyota yenye umbo la pembe tano: Katikati ya Bendera ya nchi Senegal rangi ya manjano kuna nyota yenye umbo la pembe tano yenye rangi kijani nayo huashiria uwazi kwa ulimwengu na uhuru wa nchi , na kuhusu pembe tano za nyota hiyo huashiria nguzo tano za dini ya Kiisilamu kwa Waislamu.
الموقع والمساحة : تقع السنغال في غرب قارة أفريقيا، وتطل من الجهة الغربيّة على سواحل المُحيط الأطلسيّ.وتتشارك السنغال في حدودها مع خمسة بلدان ، وتبلغ مساحة السنغال 196,722كلم2.
Mahali na Eneo: Senegal iko magharibi mwa bara la Afrika, upande wa Magharibi pwani ya Atlantiki. Senegal inashirikiana katika mipaka yake na nchi tano, na eneo la Senegal ni Kilomita 196,722 km2.
العاصمة : مدينة " داكار "
Mji mkuu: Mji wa "Dakar""
وتنقسم السنغال إلى 14 إقليم :
دكار - زيغنشور - لوغا - سانت لويس – ديوربيل – كولدا – سيدهيو – فاتيك – كولاك – كيدوغو – ماتام - كفرين – ثييس – تامباكوندا .
Senegal imegawanywa katika majimbo 14:
Dakar - Ziguinchor - Linguere- St. Louis - Diourbel - Kolda - Bignona - Podor - Kaolack - Kedougou - Matam - Tiebo - Thies – Tambacounda.
العيد القومي
4 أبريل : نالت السنغال استقلالها عن فرنسا في 4 أبريل 1960 .
Siku ya Kitaifa
Aprili 4: Senegal Ilipata uhuru wake kutoka Ufaransa Aprili 4, 1960.
. ا لمناخ
بسبب التنوّع الجغرافيّ بين مناطق السنغال، يوجد هنالك ثلاثة مناخات رئيسيّة في البلاد، يظهر كل منها في منطقة مُختلفة، وهي:
المناخ الساحلي أو الكناري: وتتمتّع به المناطق الغربية من السنغال التي تطل على ساحل البحر المُتوسّط.
مناخ الساحل الأفريقيّ: ويظهر هذا المناخ في المناطق الشماليّة القريبة من نهر السنغال.
المناخ السودانيّ: وهو المناخ الذي تتمتّع به المناطق الجنوبيّة من السنغال .
Hali ya hewa
Kwa sababu ya tofauti ya kijiografia kati ya maeneo ya Senegal , kuna hali kuu tatu za hewa nchini , ambayo kila moja huonekana katika eneo tofauti, ambayo ni :
Hali ya hewa ya pwani au Canary : Inaonekena maeneo ya Magharibi ya Senegal , ambayo inaangalia pwani ya Bahari ya Mediterania.
Hali ya hewa ya pwani ya Afrika : Hali ya hewa hii inaonekana katika Maeneo ya kaskazini karibu na Mto wa Senegal .
Hali ya hewa ya Sudan: Ni hali ya hewa inayopatikana maeneo ya Kusini mwa Senegal .
عدد السكان : 15,020,945 نسمة ( طبقا لعام 2018 .
Idadi ya watu :idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2018 ni ( 15,020,945).
الديانة : 95.9% مسلمون - 4.1% مسيحيون .
Dini: Waislamu 95.9% - Wakristo 4.1%.
.
اللغة : الفرنسية هي اللغة الرسمية للبلاد.
Lugha: lugha rasmi nchini ni Kifaransa
الدستور : في 7 يناير 2001 تم اجراء استفتاء على مسودة الدستور، وفي 22يناير صدر الدستور .
Katiba: Januari 7, 2001, kura ya maoni ilifanyika kwa rasimu ya katiba , na Januari 22 katiba hiyo ilitolewa.
نظام الحكم : برلمانى رئاسي.
Mfumo wa Utawala : Bunge, Rais.
مصادر الدخل القومي
70 % من السنغالين يعملون بالزراعة, وأهم الزراعات الفستق ، و قصب السكر والأرز والذرة والقطن.
- صيد الأسماك حيث تتمتع بسواحل كبيرة علي المحيط .
- السياحة لتميزها بسواحل وغابات واسعة .
Vyanzo vya mapato ya kitaifa
(Asilimia% 70) ya watu wa Senegal wanafanya kazi katika kilimo , na Mimea muhimu zaidi ni pistachio , miwa , mchele , mahindi na pamba.
Uvuvi , Senegal ina pwani kubwa baharini..
Utalii , Senegal inafahamika kwa pwani na misitu mikubwa.
كتّاب :
الأدب السنغالي هو واحد من أهم الأدبيات في غرب أفريقيا ولطالما عُرفت في العالم خاصة من خلال الشخصية الاستثنائية لليوبولد سيدار سنجور، الشاعر ورجل الدولة والمدافع الكبير عن الفرنكوفونية ومغني االأفارقة. معظم الأعمال السنغالية كتبت باللغة الفرنسية، ولكن هناك نصوص باللغة العربية أو بالوولوف.
ومن بين المؤلفين التقليديين الآخرين هناك الروائيين شيخ حميدو كين، وبراجو ديوب، وبوباكار بوريس ديوب وأليون بادارا بيي، وأيضاً عثمان سمبين الذي تم عرض بعض رواياته الخاصة على الشاشة . بالإضافة إلى أعمال شيخ أنتا ديوب ، اكتسبت أعمال ومنشورات عالمة الأنثروبولوجيا تيديان إندياي بعداً عالمياً.
Waandishi:
Fasihi ya Senegal ni moja wapo ya fasihi muhimu sana huko Afrika Magharibi, Senegal kwa muda mrefu imejulikana ulimwenguni haswa kupitia mtu wa kipekee Leopold Cedar Senghor , mshairi na mwanasiasa na mtetezi Mkubwa kwa Francophonie na mwimbaji wa Waafrika. Kazi nyingi za Fasihi ya Senegal zimeandikwa kwa kifaransa, lakini kuna matini kwa Kiarabu au kwa Lugha ya Bulowov.
Waandishi wengine wa jadi ni pamoja na waandishi wa riwaya Sheikh Hamidu Kane , Bravo Diop , Boubacar Boris Diop na Alion Badara Beye , na vile vile Othman Sembene ambaye ameshatoa baadhi ya riwaya zake kwenye televesheni , Kwa kuongezea kazi za Sheikh Anta Diop , kazi na Machapisho ya mtaalamu na mwanathropolojia Tidiane Ndiaye zilizopata umaarufu ulimwenguni.
الثقافة السنغالية
منذ بداية إستقلال السنغال، اختار الرئيس ليوبولد سيدار سنجور ان تكون الثقافة هي الرافعة للتوجه السياسي. وقد اعتاد أن يقول أن الثقافة هي في بداية ونهاية كل تطور.
Utamaduni wa Senegal:
Tangu mwanzo wa uhuru wa Senegal, Rais Leopold Cedar Senghor amechagua utamaduni kuwa ni nyenzo ya mwelekeo wa kisiasa . Alikuwa
.akisema kwamba utamaduni uko mwanzo na mwisho wa kila maendeleo.
السياسة الخارجية
للسنغال مكانة بارزة في العديد من المنظمات الدولية، وكان عضوا في مجلس الأمن للأمم المتحدة في 1988-1989 و2015-2016. وقد تم انتخابه للجنة الأمم المتحدة لحقوق الإنسان في عام 1997.
السنغال عضو في البنك الدولي وعضو نشط في مؤسسات إقليمية رائدة مثل الجماعة الاقتصادية لدول غرب أفريقيا (وهي واحدة من المؤسسين)، والاتحاد الأفريقي (AU)، ومجموعة دول الساحل والصحراء ( CES) وأيضاً الاتحاد الاقتصادي والنقدي لغرب أفريقيا (UEMOA) ، وهيئة تنمية نهر السنغال (OMVS) ومنظمة تنمية نهر جامبيا (OMVG) وتعد السنغال من بين المدافعين الأوائل عن تأسيس الولايات المتحدة الأفريقية.
كما أن السنغال عضو أيضاً في المنظمة الدولية للفرانكفونية (OIF) منذ عام 1970، وقد أثبتت داكار نفسها كشريك رئيسي، وترأس رئيس الدولة السابق عبده ضيوف لمدة 12 عاما هذه المنظمة. وتحت رئاسة ماكي سول نظمت السنغال المنتدى الاقتصادي الفرانكفوني الأول في داكار في نوفمبر 2014.
Sera ya Mambo ya nje
Senegal iko mahali pa juu katika mashirika mengi ya kimataifa, na ilikuwa mshiriki wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwaka 1988-1989 na 2015-2016. Na ilichaguliwa kuwa katika Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu mwaka 1997.
Senegal ni mwanachama katika Benki ya Dunia, na ni mwanachama endelevu katika taasisi za kikanda zinazoongoza kama shirika la Uchumi wa Mataifa ya Afrika Magharibi (ambayo ni miongoni mwa nchi Zilizoanzisha) , Jumuiya ya Afrika (AU) , Jumuiya ya nchi za Sahel-Sahara (CES) na pia Jumuiya ya Uchumi na Fedha ya Afrika Magharibi (UEMOA) , Mamlaka ya Maendeleo ya Mto Senegal (OMVS) na Shirika la Maendeleo la Mto wa Gambia (OMVG), Senegal ni miongoni mwa nchi za kwanza zinazotetea wazo la kuanzisha nchi za Afrika zilizoungana.
Senegal pia ni mwanachama wa Shirika la Kimataifa la Francophonie (OIF) tangu mwaka wa 1970 , na Dakar imethibitisha yenyewe kama mshirika mkuu , na kwa miaka 12 Rais wa zamani wa Senegal Abdo Diouf aliliongoza shirika hili. na chini ya Uenyekiti wa Macky Sol , Senegal iliandaa Kongamano la kwanza la Uchumi la Francophone huko Dakar Novemba 2014 .
ترجمة:
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي
ترجمة:
أحمد مصطفي متولي
مترجم وباحث متخصص في الشأن الإفريقي